Thamani ya mwanamke

Thamani ya mwanamke

CIRDRAH

Member
Joined
Dec 16, 2014
Posts
13
Reaction score
3
Kiukweli thamani ya mwanamke ni akili yake na ujuzi wa kupambanua mambo!!ukubali ama ukatae...mwanamke ndo msingi wa mafanikio katika familia.kwa uchunguzi wangu..masistaa katika mahusiano huwa hawana mipango na malengo zaidi ya kupenda starehe...wife material wengi ni wanawake watafutaji!!KUBALI AU KOSOA KWA HOJA
 
Inawezekana unachosema kikawa na ukweli kiasi fulani
 
inategemeana kwa sasa kulingana na maisha yalivyo hata kama ni kilaza lzm ajikune ulefu wa mkono wake ukifanya blanda imekula kwako
 
Watoto wa kike inabidi mzoee tu kwa kweli tunapenda kuwaongelea sana dah.
Hata hivyo heshima kwenu ingawa mnatofautiana sana.
 
Nakataa! Wanawake wengi watafutaji wanasahau majukumu yao ya msingi katika familia and so,u-material wao siuoni hapo!
 
Thamani ya mwanamke ni ushauri mzuri kwa mtu wake, upendo, utulivu na kusababisha amani siku zote.
 
Kiukweli thamani ya mwanamke ni akili yake na ujuzi wa kupambanua mambo!!ukubali ama ukatae...mwanamke ndo msingi wa mafanikio katika familia.kwa uchunguzi wangu..masistaa katika mahusiano huwa hawana mipango na malengo zaidi ya kupenda starehe...wife material wengi ni wanawake watafutaji!!KUBALI AU KOSOA KWA HOJA

Penye red SIO kweli sehemu kwa yategemea kiongozi wake MUME wake yukoje na msingi wa familia CODE OF HONOR tangu mwanzo wakati wa kuoana

Nakataa! Wanawake wengi watafutaji wanasahau majukumu yao ya msingi katika familia and so,u-material wao siuoni hapo!

Nakubaliana na hilo na sio wanawake tu Hata wanaume waki consecrate sana kwenye uchumi wa mali au ukongozi majukumu ya kifamilia hushindwa mfano mzuri Baba wa taifa..
 
Hahahaa tatizo huko kushangilia kumekaa ki-escrow zaidi

ndiyoo..... maanake ni tukiwatafutia tukawalisha,kuwavisha,kuwalea wao na watoto wao ndo tunakuwa wa thaman,ndo maana nikaona niwaite majembe.....
 
NAUNGA MKONO HOJA sababu zangu ni kuwa umezungumza kweli tupu..
 
unajua mwanake akili zake si nzuri hata kidogo yaani juzi nilikuwa napitapita mtaani nikasikia mtu anazomewa kuangalia alikuwa muuza urembo na waliokuwa wakimzomea ni wanawake watu wazima na watoto juu kisa amewauzia heleni kwa bei ya juu sasa wale kima mama walikuwa wanamlazimisha yule kijana wawatu hadi akakasirika na kuwanyang'anyang'a vitu vya hapo ndipo vurugu zikaanza wakamzomea wakamtukana wakamzushia maneno chungu mzima kwamba ana wataka yaani wale wanawake watu wazima honzo ndo ndomana nasema wanawake akili zao kama za kuku awajui muelekeo wao kikubwa wanachoangalia je jua limezama hivyo kwa wanawake wanacho angalia je mtu huyu anapesa akili zao nikuwaza kama kuku uwaza mapumba muda wote
 
Back
Top Bottom