A ADVENTURE JOHN Member Joined Jan 30, 2014 Posts 34 Reaction score 1 Mar 15, 2014 #1 wanawake wa siku hizi wanatia aibu ,matiti,kitovu nyinjenyinje,skirt ni transparent (------ yanaonekana,thamani iko wapi)
wanawake wa siku hizi wanatia aibu ,matiti,kitovu nyinjenyinje,skirt ni transparent (------ yanaonekana,thamani iko wapi)
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,333 Reaction score 829,485 Mar 16, 2014 #2 Ngoja nikasali kwanza....nikirejea nitatoa tamko naomba muwepo wote
K kabwe makanika Senior Member Joined Jan 11, 2013 Posts 158 Reaction score 136 Mar 16, 2014 #3 Iko pale ambapo hapako "nyinjenyinje"au nje nje
Extraordinary JF-Expert Member Joined Oct 23, 2013 Posts 541 Reaction score 178 Mar 16, 2014 #4 'wanawake wa siku hz' nadhan hata we una ndg wa kike wa siku hz vp ulishawah kuwauliza hyo kitu? maana statement yako ni kama inajumuisha all women.
'wanawake wa siku hz' nadhan hata we una ndg wa kike wa siku hz vp ulishawah kuwauliza hyo kitu? maana statement yako ni kama inajumuisha all women.
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,226 Mar 16, 2014 #5 U.k.e.n.i
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,285 Reaction score 108,303 Mar 16, 2014 #6 Biashara matangazo...
nameless girl JF-Expert Member Joined Apr 22, 2012 Posts 4,195 Reaction score 2,685 Mar 16, 2014 #7 We wadhani thamani ya mwanamke iko wapi?
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 52,427 Reaction score 118,972 Mar 16, 2014 #8 Kongosho said: U.k.e.n.i Click to expand... hapo tu, ila sasa mi siwezi kuutizama...lol
ROBERT MICHAEL JF-Expert Member Joined Oct 23, 2012 Posts 5,054 Reaction score 2,864 Mar 16, 2014 #9 Ajira ngumu kwanini wasijiajiri na mitaji wamekalia na hvyo ndo wanavyofanya matangazo ya biashara zao lakini si wanawake wote bali wale waliopungukiwa kidogo kichwani.
Ajira ngumu kwanini wasijiajiri na mitaji wamekalia na hvyo ndo wanavyofanya matangazo ya biashara zao lakini si wanawake wote bali wale waliopungukiwa kidogo kichwani.
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,226 Mar 17, 2014 #10 Kuna siku utamezwa na cobra mwenye meno, wee jifanye huangalii Ujasiri wa mwanamme unapimwa kwa kuitazama hiyo kitu bila kukapua hadi atokwe na chozi la hasira:israel: Eli79 said: hapo tu, ila sasa mi siwezi kuutizama...lol Click to expand...
Kuna siku utamezwa na cobra mwenye meno, wee jifanye huangalii Ujasiri wa mwanamme unapimwa kwa kuitazama hiyo kitu bila kukapua hadi atokwe na chozi la hasira:israel: Eli79 said: hapo tu, ila sasa mi siwezi kuutizama...lol Click to expand...
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 52,427 Reaction score 118,972 Mar 17, 2014 #11 Kongosho said: Kuna siku utamezwa na cobra mwenye meno, wee jifanye huangalii Ujasiri wa mwanamme unapimwa kwa kuitazama hiyo kitu bila kukapua hadi atokwe na chozi la hasira:israel: Click to expand... hahahaaaa... we mwanamke ni noumer
Kongosho said: Kuna siku utamezwa na cobra mwenye meno, wee jifanye huangalii Ujasiri wa mwanamme unapimwa kwa kuitazama hiyo kitu bila kukapua hadi atokwe na chozi la hasira:israel: Click to expand... hahahaaaa... we mwanamke ni noumer