Thamani ya mwanamke haina mfano

fimboyaasali

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
8,606
Reaction score
8,270
mwanamke ana thamani kubwa sana na haina mfano,angalia wanaume tunawapiga,tunawatukana,tunawadanganya,tunawanyanyasa,tunawaharibia maisha,sasa cha ajabu,ndio haohao tunataka papuchi zao,tunataka watuzalie watoto,watulelee watoto bila ya kuwasaidia,watupikie,watufulie,watutunzie nyumba na kila aina ya unyama tufanyie na bado tunawataka kwa mpalange,na wakitupa kwa mpalange tunawafanya sana na tunaenda mitaani kujisifu kuwa tumewala kwa mpalange.yote wanayavumilia,sasa siku watakapotugeuka,sijui
 
Thamani yake huongezeka maradufu akiichunga vema chupi yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]hawahawa manyau au wakutoka sayari nyingine?
unaona? tunawaita manyau usiku tunawaomba matobo yao
 
Una umri gani kwanza ndugu mleta mada maana tusijetukaanza kukupopoa kumbe masikini umebalehe wiki hii so misisimuko na balehe zimeanza kufanya kazi umeanza kujifanya unawajua wanawake kumbe unawaongelea kwa taswira ya mama yako, shangazi zako, bibi yako, dada zako walioolewa.

Hebu nenda kaoge kwanza dogo hii platform ni ya wakubwa.
 
Umezunguuka kumbe pointi yako ilikuwa kutuambia jinsi unavyoomba kwa mpalange
 
nina 63
 
Nyie ndio wanawake wanakuja kuwaendesha,kwa kujifanya mpo romantic

Siku hizi wameshuka thamani
 
Mwanamke ufanyiwa hayo kwa upumbavu wa mdomo wake.
Vipi na wanaume wanaofanyiwa hayo na wanawake unasemaje.
Jiulize kwann wanaume wanakufa mapema kuliko wanawake.
Jibu wanawake ndio chanzo kwani moyo wa mwanaume haukuumbwa kuhimili maumivu ambayo chanzo ni mwanamke
 
Mwanamke asiponyanyaswa hajisikii vizuri.
Tena akinyanyaswa ndio achepuki kabisa Wala kuondoka.
Check ndoa za wanaume waungwana na za wanaume madikteta zipi zinadumu au kuchepuka.
Mwanamke anapenda sauti ya besi ndani ya nyumba nje ya hapo anakuona SAWA na mwanamke tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…