Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 967
- 1,930
Hiyo ni thamani ya medali, elewa hilo.Hata JamiiForums inatoa hela nzuri kuliko Olympics [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Faida n kutambulika tuuMshindi wa medali yoyote kati ya hizo 3 hua anapewa kiasi chochote cha pesa?
Nini faida kwa nchi yake?
Basi ni hasara kwa taifa kama Tanzania, hakuna la maana.Faida n kutambulika tuu
Na hela wanapewaMshindi wa medali yoyote kati ya hizo 3 hua anapewa kiasi chochote cha pesa?
Nini faida kwa nchi yake?
Sijui ikoje ila ule mkenya aliyevunja rekodi kapewa mil713 TshMshindi wa medali yoyote kati ya hizo 3 hua anapewa kiasi chochote cha pesa?
Nini faida kwa nchi yake?
Hata kwenye Mpira unakuta thamani ya Kombe milioni 30, ila timu indirect zinapata mama ya mabilioni. Medali ni utambulisho tu wa uhindi na sio kwamba Medali ndio hela yenyewe.Mshindi wa medali yoyote kati ya hizo 3 hua anapewa kiasi chochote cha pesa?
Nini faida kwa nchi yake?
Point yangu ilikua ni kufahamu mshindi anapata kiasi gani cha pesa.Hata kwenye Mpira unakuta thamani ya Kombe milioni 30, ila timu indirect zinapata mama ya mabilioni. Medali ni utambulisho tu wa uhindi na sio kwamba Medali ndio hela yenyewe.
Hela zinatofautiana kutokana na mashindano mfano kwenye Riadha mshindi anapata $50,000 (120-150M) toka kwa waandaaji,
Then kuna hela unapata kwenye matangazo na deals mbalimbali kutegemea na umaarufu wako.
Mtu kama Usain bolt anaingiza mabilioni ya hela kwenye matangazo tu.
Labda kakosea inawezekana ukawa dollarHata JamiiForums inatoa hela nzuri kuliko Olympics 🤣🤣🤣
Hajakosea, hiyo ni thamani ya medali.Labda kakosea inawezekana ukawa dollar
Hakuna Hela ,hii mada ilijadiliwa na BBC,pesa labda upewe na taifa lako kupitia kamati ya OlympicNa hela wanapewa
Riadha (mbio) na boxing watapata zawadi ya pesa mwaka huu. Kabla ya hapo ilikuwa hakuna zawadi yoyote. Zawadi unapewa na nchi yako.Point yangu ilikua ni kufahamu mshindi anapata kiasi gani cha pesa.
Mpira nafahamu faida zake, mauzo ya jezi, viingilio, haki za matangazo, wadhamini n.k.
Hakuna Gold ya grams 500 yenye thamani ya 2 millionsFAHAMU THAMANI YA MEDALI ZA MICHEZO YA OLYMPICS 2024
1. Medali ya Dhahabu
Thamani: Tshs. Mil 2.56
Uzito: Gramu 529
2. Medali ya Chuma
Thamani: Tshs. Mil 1.3
Uzito: Gramu 525
3.Medali ya Shaba
Thamani: Tshs. 35,077
Uzito: Gramu 455
=====For English Audience======
The Olympics gold medal weighs 529 grams, more than 95.4% of the medal is actually made of silver (505 grams). Six grams consists of pure gold, which serves as the plating for the medal, and 18 grams consists of iron, according to various reports. If the gold medal was made of pure gold, it would be valued at approximately $41,161.50. This is why the last time pure gold medals were presented was in 1912.
The silver medal weighs 525 grams with 507 grams made of silver and 18 grams of iron. Its value based on the July 24 silver spot price for silver and iron is approximately $486.
The bronze medal weighs 455 grams and consists of 415.15 grams of copper, 21.85 grams of zinc and 18 grams of iron. Its podium value is approximately $13.
All medals are 85 millimeters across and 9.2 millimeters thick.
Source: Forbes
Not pure.Hakuna Gold ya grams 500 yenye thamani ya 2 millions