mama s upo juu sana..km kweli una mwanaume mwelewa mtafika mbali sana..kimahusiano hata kiuchumi piaTumekuwa tukitofautiana sana na mpenzi wangu lakin baada ya kukaa kimya kwa muda nikitafakari niamue nn cha kufanya juu ya maisha yangu niliwaza kabla sita make decision embu nijaribu kuwa mjinga kujishusha na kusuputu kusema SAMAHANI kwa yote nilio tenda kwako naomba tuanze upya maisha yetu ya mapenzi ya awali,nashukuru toka hapo nimekuwa najisikia mwenye faraja upendo amani upya katika maisha so wandungu amua wewe mwanamke au mwanaume kuweka mambo sawa kwenye mapenzi yako.
Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
mi wangu ana jeurii moja matata......hata akosee haombi ng'o...dawa yake ipo jikoni
https://encrypted-tbn1.gstatic.com/images?q=tbn:ANd9GcT9S-
dX_ToIvq8PxOaO_KBptWmnOKr4ie2z56H2UVPDv7dbjHM
Ladies, kwako mume/mpenzi wako anapokukosea una-prefer aombe samahani ya aina gani???Ipi unadhani ni ya dhati?
..Anyamaze kimya ila ajaribu kuku-WIN kwa kukununulia zawadi na kukufanyia vitu vizuri ambavyo alikuwa hafanyi mwanzo mf. Kukutoa out, kukusaidia vikazi vidogo vidogo nyumbani, kujali hisia zako na mahitaji yako binafsi, kuwahi kurudi nyumbani, kukushirikisha mambo yake n.k
Au ..kukuambia SAMAHANI, NILIKUKOSEA, HAITOTOKEA TENA alafu basi??
Wakaka/wababa huwa mnamaanisha nini pale mnapogoma kusema samahani na badala yake kuanza kumwaga mazawadi na pesa kwa wenzi wenu?
mi wangu ana jeurii moja matata......hata akosee haombi ng'o...dawa yake ipo jikoni
Lakini facial expression si inaonyesha kuwa amekubali kosa....mwanaume akiwa anaomba msamaha ovyo ovyo anaboa bhana
mi wangu ana jeurii moja matata......hata akosee haombi ng'o...dawa yake ipo jikoni
mahondaw mi gf wangu nimemuweka pending mbishi, hashauriki, hapendi kujishusha..yaani kosa anafanya yeye kwa ubishi wake mi ndo nashuka na kupotezea mambo...
Naungana na wewe dawa yake inachemka.
Hiki ndicho nilichokuwa natafuta kutoka kwa wazoefu wa maisha....
Mwanamume gani bwana atakaa kila siku na kujipigisha magoti kuomba misamaha isiyo na kichwa wala miguu?
Inabidi wamama wajue kuwa tunaendeshwa na hormones tofauti kiasi kwamba hatuwezi kufanya mambo kwa mbinu zinazofanana. Hii haina maana kuwa hatuombi msamaha ila uombaji wetu ni tofauti na ule wa wavulana!!
mi wangu ana jeurii moja matata......hata akosee haombi ng'o...dawa yake ipo jikoni
Hiki ndicho nilichokuwa natafuta kutoka kwa wazoefu wa maisha....
Mwanamume gani bwana atakaa kila siku na kujipigisha magoti kuomba misamaha isiyo na kichwa wala miguu?
Inabidi wamama wajue kuwa tunaendeshwa na hormones tofauti kiasi kwamba hatuwezi kufanya mambo kwa mbinu zinazofanana. Hii haina maana kuwa hatuombi msamaha ila uombaji wetu ni tofauti na ule wa wavulana!!
Hamna anachofanya kuashiria he is sorry?
Shkamoo babu...
Basi babu tudokeze ni vitu gani 'MWANAUME' anaweza kufanya kuonyesha kwamba amekubali kakosea and he is sorry bila kusema chochote.