shansarie
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 5,690
- 3,358
yaishe inamaana bado unali moyoni au hujakubali kosa unajaribu tu kulizima lisilete ugonvi hapo hujatatua tatizo unamuacha mwenzio na maswali mengi.la sivyo na yeye akikwambia yaishe bila kukuomba msamaha inabidi ukubaliKuomba msamaha ni kusema "YAISHE" zaidi ya hapo usitegemee "SAMAHANI"...!