Thamani ya damu ya watanzania ndiyo hii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Thamani ya damu ya watanzania ndiyo hii

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MataFire, Feb 18, 2011.

 1. MataFire

  MataFire Member

  #1
  Feb 18, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Nianze kwa kutoa pole kwa waathirika wote
  wa mabom ya Gomz. Poleni sana watanzania wenzangu.

  Katika maisha ya mwanadam hakuna kitu kisicho faa kufidia kama
  maisha/uhai wa mtu. Nini serekeli itatoa kufidia watanzania walipoteza uhai kule Mbagala na Gongolamboto? Je taarifa ya kamatia ya mabom mbagali, ilifanyiwa kazi kiwango gani?

  Mabom ni kama viumbe hai. YAISHI, YANAKULA, YANAKUFA, YANAZIKWA, na YANAPUMUA.
  Swali ni hili, katika ghala zetu za jeshi, je! haya yote yanazingatiwa???

  Ushauri wangu kwa serekeli ni huu, wataalam watumike zaidi kuliko viongozi. Ilikua busara sana kwa raisi wetu kutembelea kule Gongolamboto jana ila ingekua busara zaidi kama tungesikia wametembele magwiji ya Silaha tanzania.
   
 2. Kbd

  Kbd JF-Expert Member

  #2
  Feb 18, 2011
  Joined: Oct 9, 2009
  Messages: 1,264
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Usipoteze muda wako ndugu yangu ati kuishauri serikali.......... toka lini serikali ikasikiliza maoni ya wananchi au wataalam kama jambo hilo halina maslahi ya kifisadi kwao?? Kwa kifupi serikali ipo kwa ajili ya kustawisha mafisadi na kujilimbikizia mali at wananchiz expense and i mean at any cost. Unless tunasimama na kuwaonyesha nini maana ya nguvu ya umma.......tutaendelea kuuliwa, kunyanyaswa, kudhulumiwa, kuibiwa, kudhalilishwa na kufanywa wajinga sisi na vizazi vyetu.
   
 3. Shaycas

  Shaycas JF-Expert Member

  #3
  Feb 21, 2011
  Joined: Feb 13, 2009
  Messages: 899
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Nimeipenda hiyo ya mabomu KUISHI;KUPUMUA:KUFA NA KUZIKWA.
  Mkuu naomba unifafanulie kidogo.
   
Loading...