Thamani na Uthaman wa mke ni vizuri ukaheshimiwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Thamani na Uthaman wa mke ni vizuri ukaheshimiwa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by zubedayo_mchuzi, Dec 31, 2011.

 1. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #1
  Dec 31, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  jaman mke ni mtu wa pekee katika maisha yetu,
  Nikiwa namaliza mwaka ndani ya jiji la mafuriko...hapa nimepg kambi viwanja vya manzese huku nikishuhudia wadada warembo wakijiuza kwa 300,500,1000 na hapa ukiwaza sana unaweza shusha hadhi ya mwili wa kike....

  Nimetema mate kuepusha kutapika manake..**chi unavyouzwa kama mitumba ya Karume,argentina,77 dodoma....kazi ikisha kinapigwa Maji kinakaa silencer....inawezekana huu mkoa ukaongoza kwa nyumba ndogo...

  .wengine wataendelea....
   
 2. sabasita

  sabasita JF-Expert Member

  #2
  Dec 31, 2011
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  uongo machangu wa bei hiyo manzese ipi ..acha uongo
   
 3. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #3
  Dec 31, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Unabisha bei kubwa,unabisha bei ndogo?
  Mbona umekuja kwa ukali?
  Nenda pale G.guest house utawapata mpk buku 2
   
 4. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #4
  Dec 31, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Nahisi mwisho wa dunia ndo unakaribia na haitakiwi kuwalalamikia wanawake pekee kwani hata hawa wateja wao kwani wasingekuwepo nadhani hata wao wangekata tamaa na kujitaftia ajira inayoendana na maadili ya kiTZ
   
 5. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #5
  Dec 31, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Hatari kabisa...
   
Loading...