Thaicom 5 and apstar 2r

nictbb

Senior Member
Joined
May 18, 2012
Posts
119
Reaction score
9
jamani wataalam hapa jamvini,yeyote ambaye amewahi kupata mojawapo ya sat hizo hapo juukwa dish au zote kwa dish la futi 6 msaada tafadhali,na maelezo ya jinsi ya kuzipata kwa urahisi,na kama kuna attachments ntashukuru zaidi wataalam
 
hizo zote ni rahisi sana kama dishi lako ulisha kuwa unalitumia kupata itv basi pima sentimita nane tu kushuka chini katika kile kidude kinachoingia ndani kutoka pale ulipokuwa unapata itv pia katika lnb ya c band toa kile kidude cha ndani wakati unaseti kama umekaa nyuma ya dishi zungusha kidogo upande wa kulia kwako anza kutafuta thaicom ndio rahisi tp zenye freq kubwa 3575H6500 AU 3520H28125 AU 3551H13333 utapata zaidi ya channel 300 ikiwemo na ten sport ambayo sasa hivi ipo free usipofanikiwa utaniambia nikupe maujuzi zaidi
 

Ten sports unaipata kwa frequency zipi?
 
Samahani Mkuu, hizo sentimita nane zinazotakiwa kupimwa kutoka inapopatikana itv haitaingiliana na ilipo LNB inayotumika kukamata Ajazeera? (C Band 68.5)? Na hicho kidude unachokisema kinatolewa ni kipi? Tumia sketch kama inwezekana sisi wengine bado wanafunzi kwenye hayo makitu.
 
kaka nashukuru sana sana kwa msaada wako,nimepata vizuri na kiwepesi zaidi,nina lingine kaka,vp kuhusu paksat 1r @ 38'E?nimehangaika nayo sana sana kaka na imenitoa,nna euro star ft 6 solid dish,eurostar single solution lnd na strong receiver srt 4663x,je kaka pia nitafute ku band gani nzuri ambayo itanifaa kuata yahsat @ 52'E?natanguliza shukrani,pia channel gani za west ni rahisi kuzipata
 
ANALGESIC kaka nashukuru sana sana kwa msaada wako,nimepata vizuri na kiwepesi zaidi,nina lingine kaka,vp kuhusu paksat 1r @ 38'E?nimehangaika nayo sana sana kaka na imenitoa,nna euro star ft 6 solid dish,eurostar single solution lnd na strong receiver srt 4663x,je kaka pia nitafute ku band gani nzuri ambayo itanifaa kuata yahsat @ 52'E?natanguliza shukrani,pia channel gani za west ni rahisi kuzipata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…