Thank you.Huyu ni mmoja kati ya viongozi ninaowakubali hapa Duniani, Thabo Mbeki, tafadhali msikilize kwa makini sana kama ukipenda, anaongelea kujivua gamba kwa CCM na ulazima wa Raisi Magufuli kuwa Mwenyekiti wa CCM, ICC na uhusiano wake na Afrika pamoja na EPA (Economic partnership agreement) ambapo anaongelea kwa nini Kenya wameamua kusaini EPA ni kwamba walishinikizwa, sasa kwanini Wazungu wawashinikize kama ni swala la kwa faida ya wote?
Kwa wasiofahamu Thabo Mbeki ndiyo muanzilishi wa Black economic empowerment AK ambapo lengo lake lilikuwa ni kutoa fursa sawa kwa Waafrika huko AK, programu iliyoibua mabilionea kama Toyko Sexwale n.k
Tafadhali chukua muda wako msikilize mpaka mwisho kama ukipenda, kuna mengi sana ya kujifunza ktk kwa Thabo Mbeki!
Unaweza kuanzia dakika ya 3:00 kama ukindepa!
lugha imekutoa knock out? tumia translatorOk badae kidogo
Ukimsikiliza vizuri huwezi kuchukia jembe JPMThank you.
Wewe jamaa mbona unakuwa mjinga hivyo
kwa nini unadanganya wazi ni dakika ya ngapi amemtaja huyo bwana wako?
Si lazima amtaje ila kama umesikiliza kwa makini utakuwa umeelewa nini anamaanisha kwa nchi zetu za afrika na ulimwenguni kwa ujumla. Chama tawala watu wake wengi wanakuwa wala Rushwa lakini ni vigumu serikali kuwachukulia hatua na ndiyo msingi mkubwa ulioongelewa wakati wamealikwa kule China.
Kuhusu EPA, amesema baadhi ya nchi zilishinikizwa kusaini, akatolea mfano ni Kenya japokuwa hakuhitaja Tanzania kwa kuto kusaini EPA. Sasa hapa wazungu wansema Connect the dots utaelewa
ki ki ki ki ki kimombozlugha imekutoa knock out? tumia translator
Hawa ni wachina. Sema mamilioni ya Yuan na siyi Yen.Rushwa kwenye chama tawala,ameifafanua kidogo ,kama mnafatilia mambo ya dunia huyo aliyekuwa mkuu wa security ya chama na state baada ya kustaafu amefungwa maisha.Mke wake ameukumiwa Mei kutumikia kifungo cha miaka 10,mtoto wao amehukumiwa miaka 12 jela.wanatakiwa kulipa faini ya mabilioni ya yen.kwa Tanzania ni untochables
Huyu utamuweza? haihitaji hasira kumfuatiliaWewe jamaa mbona unakuwa mjinga hivyo
kwa nini unadanganya wazi
ni dakika ya ngapi amemtaja huyo bwana wako?
Anasafiri kwenda wapi?JPM yuko hewani