I guess kuwa amekwisha ahidiwa somehwere kwenye NBA. Kama mwaka jana alisita kuingia NBA baada ya kushuriwa na akina Mutombo, na safari hii anafanya haraka, ni lazima kuwa ameshaahidiwa kitu. Tumuombee kusudi asijebadilishwa tabia kutokana na pesa nyingi pamoja na kampani mbovu akaingia katika mambo mabaya. Atunze composure yake kama ilivyokuwa siku zote tangu alipoanza kujulikana.