Yeah Mazee itabidi upige simu kwenye Slow Jamz utoe dedication kwa mamaa hahahah tutatoa zawadi ya supu ya konokono hahahahah.Mazee.........tuko wote Mkuu......burudani safi kabisa......na ile J4 slow jams zilikuwa bomba sana mazee........keep it up!
.....hapa mi napata vitu vikali vya Patrick Balisidya......si mchezo
Siku zote huwa nafikili u mpenzi wa mipasho,rusha roho na taarabu... kumbe hata bolingo na ngai upo...! ama!Mazee GQ,
Ninasikia vitu mkulu... umeweka bolingo kwa wapenzi wake ijumaa hii..... tafadhali sana session ya bolingo iendelee kwa muda kidogo (next 30 minutes?)
Thanks!
Mambo yote bongoradio.......
Unajua nilikuwa nafanya remote access kwenye database ya Bongo Radio lakini sasa connection inagoma lakini ikikubali nitakuwekea mamboz ya Bolingo mwafrika wa kike.Mazee GQ,
Ninasikia vitu mkulu... umeweka bolingo kwa wapenzi wake ijumaa hii..... tafadhali sana session ya bolingo iendelee kwa muda kidogo (next 30 minutes?)
Thanks!
Mambo yote bongoradio.......
Siku zote huwa nafikili u mpenzi wa mipasho,rusha roho na taarabu... kumbe hata bolingo na ngai upo...! ama!
Unajua nilikuwa nafanya remote access kwenye database lakini sasa connection inagoma lakini ikikubali nitakuwekea mamboz ya Bolingo mwafrika wa kike.
Lakini pata hapa bolingo Mix kali sana kutoka EastAfricanTube http://www.eastafricantube.com/media/9061/Sebene_Mix_2/
na nyingine hii http://www.eastafricantube.com/media/9062/Sebene_Mix_3/
Haya na Sisili ya Moni mambo pia hiyo mazee
http://www.eastafricantube.com/media/9783/Sisili_-_Moni_Mambo_Orchestra_Shika_Shika/
Unajua nilikuwa nafanya remote access kwenye database ya Bongo Radio lakini sasa connection inagoma lakini ikikubali nitakuwekea mamboz ya Bolingo mwafrika wa kike.
Lakini pia unaweza kupata bolingo Mix kali sana kutoka EastAfricanTube http://www.eastafricantube.com/media/9061/Sebene_Mix_2/
na nyingine hii http://www.eastafricantube.com/media/9062/Sebene_Mix_3/
Jamboforums - The best African forum - hands down
Bongoradio - The best African internet radio - hands down
KLHNEWS - The best bongo news source online - hands down
Rostam Azizi will kill for a new passport to have a glimpse of you guys!
Good Job!
Mwafrika wa Kike- The best looking Tanzanian abroad I have ever seen in my life - hands down!
Kwi kwi kwi kwi....
Ngabu naona weekend imeanza mapema huko kwenu!
Oh yeah...
Leo nina kukauti kwenye paki...
Lil sis' hakukwambia?