TGIF Tuburudike na Zilipendwa

Geeque

JF-Expert Member
Aug 17, 2007
936
316
Wiki nzima akili yangu na nina uhakika za wengine pia zimekuwa inatibuliwa na habari za MAFISADI wa Bongo, ngoja tuburudike basi.
1)Vijana Jazz Band na Ngapula kwa wale Mabaharia wote FMES, Mkandara na wengine ......http://www.eastafricantube.com/media/9548/Vijana_Jazz_Band_-_Ngapulila/

2)DDC Mlimani Park Orchestra - Neema http://www.eastafricantube.com/media/1602/DDC_Mlimani_Park_Orchestra_-_Neema/

3)Patrick Balisidya na Dirishani http://www.eastafricantube.com/media/9557/Patrick_Balisidya_and_Afro_70_Band_-_Dirishani/

4)Marijani Rajabu - Siwema http://www.eastafricantube.com/media/1908/Siwema_-Marijani_Rajabu/

5)Orchestra Marquis Original - Ni Wewe Pekee Ninayekupenda http://www.eastafricantube.com/media/9551/Orchestra_Marquis_Original_-_Ni_Wewe_Pekee_Ninayekupenda/
 
Mazee.........tuko wote Mkuu......burudani safi kabisa......na ile J4 slow jams zilikuwa bomba sana mazee........keep it up!

.....hapa mi napata vitu vikali vya Patrick Balisidya......si mchezo
 
Mazee.........tuko wote Mkuu......burudani safi kabisa......na ile J4 slow jams zilikuwa bomba sana mazee........keep it up!

.....hapa mi napata vitu vikali vya Patrick Balisidya......si mchezo
Yeah Mazee itabidi upige simu kwenye Slow Jamz utoe dedication kwa mamaa hahahah tutatoa zawadi ya supu ya konokono hahahahah.
 
Mazee GQ,

Ninasikia vitu mkulu... umeweka bolingo kwa wapenzi wake ijumaa hii..... tafadhali sana session ya bolingo iendelee kwa muda kidogo (next 30 minutes?)

Thanks!

Mambo yote bongoradio.......
 
Mazee GQ,

Ninasikia vitu mkulu... umeweka bolingo kwa wapenzi wake ijumaa hii..... tafadhali sana session ya bolingo iendelee kwa muda kidogo (next 30 minutes?)

Thanks!

Mambo yote bongoradio.......
Siku zote huwa nafikili u mpenzi wa mipasho,rusha roho na taarabu... kumbe hata bolingo na ngai upo...! ama!
 
Mazee GQ,

Ninasikia vitu mkulu... umeweka bolingo kwa wapenzi wake ijumaa hii..... tafadhali sana session ya bolingo iendelee kwa muda kidogo (next 30 minutes?)

Thanks!

Mambo yote bongoradio.......
Unajua nilikuwa nafanya remote access kwenye database ya Bongo Radio lakini sasa connection inagoma lakini ikikubali nitakuwekea mamboz ya Bolingo mwafrika wa kike.

Lakini pia unaweza kupata bolingo Mix kali sana kutoka EastAfricanTube http://www.eastafricantube.com/media/9061/Sebene_Mix_2/
na nyingine hii http://www.eastafricantube.com/media/9062/Sebene_Mix_3/
 
Unajua nilikuwa nafanya remote access kwenye database lakini sasa connection inagoma lakini ikikubali nitakuwekea mamboz ya Bolingo mwafrika wa kike.
Lakini pata hapa bolingo Mix kali sana kutoka EastAfricanTube http://www.eastafricantube.com/media/9061/Sebene_Mix_2/
na nyingine hii http://www.eastafricantube.com/media/9062/Sebene_Mix_3/

Asante mazee,

Ninapata vitu tartibu na weekend inaanza kwa kasi! Ninawazo tofauti kidogo thou'. Once in a year (a month?) uwachanganye pia ndugu zetu wa kwa Kabila kwenye bolingo session ili kukuza fleva zaidi!
 
Jamboforums - The best African forum - hands down
Bongoradio - The best African internet radio - hands down
KLHNEWS - The best bongo news source online - hands down

Rostam Azizi will kill for a new passport to have a glimpse of you guys!

Good Job!
 
Unajua nilikuwa nafanya remote access kwenye database ya Bongo Radio lakini sasa connection inagoma lakini ikikubali nitakuwekea mamboz ya Bolingo mwafrika wa kike.

Lakini pia unaweza kupata bolingo Mix kali sana kutoka EastAfricanTube http://www.eastafricantube.com/media/9061/Sebene_Mix_2/
na nyingine hii http://www.eastafricantube.com/media/9062/Sebene_Mix_3/

Sasa chorus za werasoni na za kofi zipi zaidi?
Mazee GQ ninahisi unaupendeo fulani hivi hapa!

Otherwise, good job!
 
Jamboforums - The best African forum - hands down
Bongoradio - The best African internet radio - hands down
KLHNEWS - The best bongo news source online - hands down

Rostam Azizi will kill for a new passport to have a glimpse of you guys!

Good Job!

Mwafrika wa Kike- The best looking Tanzanian broad I have ever seen in my life - hands down!
 
Mazee GQ,

Hujapata access bado?
Naweza kuuliza permission ya NASA for you na ukatumia satelite yao for the love of afrikan muziki ...... lol

Nimependa Sebene Mix3..... Imwage kwenye one of the live and direct shows!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom