Jacobus JF-Expert Member Joined Mar 29, 2011 Posts 4,711 Reaction score 1,738 Nov 17, 2014 #1 Sasa uwanja wa Karume unatumika kwa mechi za ligi daraja la kwanza cha ajabu uwanja huo licha ya kuwa ofisi za TFF zimo humo lakini hilo hawalioni ni hatari mno kwa wachezaj kwani hauna uzio wa kuwazuia watazamaji kuingia kwenye 'pitch'. Attachments Karume Stadium.jpg 218.2 KB · Views: 83
Sasa uwanja wa Karume unatumika kwa mechi za ligi daraja la kwanza cha ajabu uwanja huo licha ya kuwa ofisi za TFF zimo humo lakini hilo hawalioni ni hatari mno kwa wachezaj kwani hauna uzio wa kuwazuia watazamaji kuingia kwenye 'pitch'.
Lonestriker JF-Expert Member Joined Oct 8, 2010 Posts 640 Reaction score 241 Nov 17, 2014 #2 Sio uzio tu, uwanja mzima unahitaji kuendelezwa. Ukiendelezwa msaada mkubwa kwa timu ndogo za Dar kwenye Ligi Kuu.
Sio uzio tu, uwanja mzima unahitaji kuendelezwa. Ukiendelezwa msaada mkubwa kwa timu ndogo za Dar kwenye Ligi Kuu.
bornagain JF-Expert Member Joined Jan 25, 2012 Posts 3,383 Reaction score 1,360 Nov 17, 2014 #3 Mpaka mchezaji atakapopata matatizo ya kupigwa na kitu chenye ncha kali ndiyo watafikilia kuweka uzio
Mpaka mchezaji atakapopata matatizo ya kupigwa na kitu chenye ncha kali ndiyo watafikilia kuweka uzio
Jacobus JF-Expert Member Joined Mar 29, 2011 Posts 4,711 Reaction score 1,738 Nov 17, 2014 Thread starter #4 Vurugu iliyotokea kwenye mechi ya Ashanti United na Villa Squad ya leo ni mfano tosha kabisa.