TFF wana cha kujifunza kuhusu DAB

ebaeban

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
2,205
2,690
Awali nilisema hivi:-

Kwa kumtuma huyo Bashite eti sijui akafanye nini huko Misri kwenye mashindano ya AFCON ndo karoga timu kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, huyo Bashite ndiye anayeenda kuitia timu uvivu mwili mzima na kale kanguvu ka kupambana na Kenya kataisha. Jiwe ni scintist phylosopher anashindwa kuelewa kwaamba Bashite hawezi kuwa mhamasishaji wa suala lolote ? zaidi ya kuwa ni boredom creater? Wenye vyeti feki wenzie wamefukuzwa kazi yeye kabaki haoni kuwa ni kisababishi kikubwa cha hisia za chuki za jambo loloteambalo atalibebea kibendela?

Jamani mbona mambo mengine ni raahisi mno kuyadadavua? Kama hili la Bashite

Sasa nasema hivi, Stars itarudi nyumbani bila point, na ilienda AFCON kwa hisani ya Uganda kwani katika mechi ya mwisho Uganda iliisha weka kibindoni point 13 na Stars ilikuwa na 5 basi The CRANE wakawa hawana shida yoyote na hiyo mechi wakaona hawana haja ya kuvunjika miguu waka-relax.
Stars hawakuenda AFCON kutokana na uhamasishaji wa Bashite lahasha bali ni kwa hisani tu ya Uganda

Nafikiri TFF wanalakujifunza hapa kutokana na uhamasishaji wa huyo mtu.
 
kumalamamayake CCM KUMALAMAMAYAKE TFF ALAFU KUMALAMAMAYAKE KUBWA TIMU YA TANZANIA, alafu mkundu mavi BASHITE....KUUUMA
 
Punguza ukali wa maneno mkuu

mkuu i wish ungeniona nlivyokuwa naaminia nna hasira, siku Tz anacheza na Senegali kuna jamaa aliikata Tz mazima wahuni walitaka kumuua tukamtetea atoka nduki, What the https://jamii.app/JFUserGuide happened today ? HAWA SIO WAKUWACHEKEA WANAMAZOEA YA KISENGE KAMA HUAMINI UTASIKIA KESHO MANENO YAO YAKISEEENGE
 
Hii nchi Hakna hata mmoja mwenye furaha. UNAWEZA UKAJIKUTA UMEAMKA ASUBUHI UNAHASIRA HATARI. Kwani kipindi cha Kikwete timu haikuwa inafungwa ovyo? Watu walikuwa na hasira hizi? Hasira hizi zinamaana nzito sana kwako mtani Magu na Mwana Mfalme! MIOYO YA WA TZ IMEBEBA UJUMBE MZITO SANA KWENU, LAZIMA MJITAFAKARI. HII HALI HATUJAWAHI KUISHUHUDIA MIAKA YA 80'S HADI 2000'S
 
Awali nilisema hivi:-

Kwa kumtuma huyo Bashite eti sijui akafanye nini huko Misri kwenye mashindano ya AFCON ndo karoga timu kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, huyo Bashite ndiye anayeenda kuitia timu uvivu mwili mzima na kale kanguvu ka kupambana na Kenya kataisha. Jiwe ni scintist phylosopher anashindwa kuelewa kwaamba Bashite hawezi kuwa mhamasishaji wa suala lolote ? zaidi ya kuwa ni boredom creater? Wenye vyeti feki wenzie wamefukuzwa kazi yeye kabaki haoni kuwa ni kisababishi kikubwa cha hisia za chuki za jambo loloteambalo atalibebea kibendela?

Jamani mbona mambo mengine ni raahisi mno kuyadadavua? Kama hili la Bashite

Sasa nasema hivi, Stars itarudi nyumbani bila point, na ilienda AFCON kwa hisani ya Uganda kwani katika mechi ya mwisho Uganda iliisha weka kibindoni point 13 na Stars ilikuwa na 5 basi The CRANE wakawa hawana shida yoyote na hiyo mechi wakaona hawana haja ya kuvunjika miguu waka-relax.
Stars hawakuenda AFCON kutokana na uhamasishaji wa Bashite lahasha bali ni kwa hisani tu ya Uganda

Nafikiri TFF wanalakujifunza hapa kutokana na uhamasishaji wa huyo mtu.
Jamaa mwenye gundu naskia aliwamwagia mapesa ili wasikamie mechi. Eti tuifunge ze krens goli nne, maviiiiiiiiiii.
 
Hii nchi Hakna hata mmoja mwenye furaha. UNAWEZA UKAJIKUTA UMEAMKA ASUBUHI UNAHASIRA HATARI. Kwani kipindi cha Kikwete timu haikuwa inafungwa ovyo? Watu walikuwa na hasira hizi? Hasira hizi zinamaana nzito sana kwako mtani Magu na Mwana Mfalme! MIOYO YA WA TZ IMEBEBA UJUMBE MZITO SANA KWENU, LAZIMA MJITAFAKARI. HII HALI HATUJAWAHI KUISHUHUDIA MIAKA YA 80'S HADI 2000'S
Kipindi cha jk tulikuwa wazalendo na timu ilikuwa ni ya wananchi na sio ya serikalini ya ccm,
 
Ngoja tuone kikichomuumiza kijana ktk mechi hi maana mechi iliyopita aliumizwa na subwoofer.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom