TFF wametumia kigezo gani kuongeza muda wa usajili hadi Aug 15!

kumbe we ***** unapenda kutukana ukitukanwa unamaid,nasisitiza yanga nyote ni"MBWA"manji sports club.bado kidogo manji atatangaza ndoa kwa wanachama wote wa yanga endeleni kumchekea ,mwaka huu mtaolewa tena ndo ya kiislam...nakuombea uwe mkemkubwa.

Tunashukuru lkn ukweli utabaki palepale "Yanga daima mbele,nyuma mwiko"
 
Mods sijui ni kati ya wale wanaolia kwa kumkosa Twite,they are sleeping...nakumbuka niliwahi kuandika vibaya(get me right, kuandika vibaya,siyo kutukana direct) nikala bann ya wiki nzima,leo hapa nafurumishiwa mituc wanaangalia tu,anyway poleni/poleni sana wote Jas,Bwana Mapesa na Mods mlioguswa kwa jambo hili,tatizo ni midomo.
 
Ukweli upo wazi na Tenga ameongea hii ni tatizo la sehemu kadhaa watu kujitafutia aidha umaarufu au sifa za mitaani na kunufaisha familia yake au kikundi kinachomzunguka wamelivamia soka la Bongo kwa kasi ya ajabu,ni vigumu viongozi wa Club kumfuata mcheza aliye ndani ya mkataba uanze nae mazungumzo yote inatokana kutokua na watu na wanachama makini ktk vilabu vyote ndio maana Mziray (marehemu) aliwai kusema kuna familia zaidi ya 50 Simba na 50 Yanga maisha yao wanaendesha kwa ajili ya vilabu hivyo wakiamka kila siku wanawaza waanzishe nini ili wapate pesa wao wapo kupata pesa kupitia Simba au Yanga si wao wapeleke pesa huko kwa maendeleo ya vilabu,Tenga kasema wazi alivyokua anafunga semina ya uongozi wa soka ktk vilabu iliyoandaliwa na FIFA watu wasomi kwa taaluma tofauti wakija ktk soka wanatakiwa wausome utaratibu wa kuendesha soka ktk vilabu kuna mafunzo na uongozi tofauti na ule uliosoma shule tofauti,utakuta mtu sbb alikua mfadhiri wa timu kesho nae kiongozi,wenye akili mlijua nn Tenga anakusudia.Laiti wangesomea sheria na taratibu za soka haya madudu yasingetokea msingojee uporesheni sangara ifike chukueni taadhari mapema na myatekeleze si kujinufaisha na familia zenu,uongozi wwt una kikomo je wajao wakiamua kuvalia njugu madudu itakuaje?Itabidi magereza waongezwe na jela zipanuliwe na kuongezwa
 
Mods sijui ni kati ya wale wanaolia kwa kumkosa Twite,they are sleeping...nakumbuka niliwahi kuandika vibaya(get me right, kuandika vibaya,siyo kutukana direct) nikala bann ya wiki nzima,leo hapa nafurumishiwa mituc wanaangalia tu,anyway poleni/poleni sana wote Jas,Bwana Mapesa na Mods mlioguswa kwa jambo hili,tatizo ni midomo.

sijaona wapi nlipotukana nmejaribu tu kukueleza ukweli!hope mods wanajua sheria,ur provocative..!
 
Ndugu yangu Anselm achana nao, wao wamemsajili Mghana na Mkenya kutokana na muda kuongezwa kwa hiyo nan amebebwa na kuongezwa muda na TFF?jana Kaburu amekir clouds fm kuwa waliongea na mbuy twite na si apr.Mbona simba wameongea na wachezaj wenye mikataba wa Azam?redondo na jeba
 
Back
Top Bottom