Window7
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 4,098
- 3,038
Imekua kawaida kwa wachezaji wengi wa ligi kuu hapa Tanzania kushiriki ligi za ndondo mitaani. Hili suala linadhoofisha vipaji vyao bila wao kujua lakini pia kunyima fursa vipaji vingine kuibuka.
Nimeshangaa kusikia wachezaji kama Maguli na Chanongo kushiriki ndondo Cup.
TFF chukueni maamuzi juu ya hili.
Cc Mh Jamali Malinzi
Nimeshangaa kusikia wachezaji kama Maguli na Chanongo kushiriki ndondo Cup.
TFF chukueni maamuzi juu ya hili.
Cc Mh Jamali Malinzi