Kanuni ipi imevunjwa?Sheria ikitekelezwa ipasavyo, kila mtu araheshimu na kutakua na mipaka. Lakini ikifanywa kwa mihemko basi itaonekana kama shamba la bibi, kila mmoja ataivunja makusudi maana anajua atakuja kusamehewa. Acha ajifunze ili na wengine waheshimu kanuni na taratibu zilizowekwa. Vinginevyo tutakua kama mpira wa mchangani.
Kwanini TFF haikuonekana kwenye siku ya wananchi? Kwanini Yanga haikualikwa mkutano wa Caf? Kwanini Yanga inayosafiri kwenda Arusha itangulie kucheza na polisi wakati Simba isiyosafiri ichelewe kucheza mechi yake, baada ya Yanga kucheza?Huwezi kumsamehe mtu ambaye daily anampiga vijembe karia
Saizi katengeneza sumu kwa mashabiki wa Yanga na kweli wamekuwa poisoned wameanza kuiita Simba TFF
Mimi naomba tu nikurekebishe kwenye hicho cheo cha juu cha ukatoliki nchini! Kwa ufupi tu ni kwamba, rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC) ndiye mwenye mamlaka makubwa kuliko hata huyo Kardinal! Maana yeye huchaguliwa na Maaskofu wote wa Katoliki nchini kushika hiyo nafasi.Ukweli ni kuwa mkubwa hakosei. Rais wa TFF ni mtu mkubwa sana kwenye mpira wetu Tanzania. Ndiye kioo Cha mpira wetu kwasasa, yaani kama ni ukatoliki yeye ndiye Kadinali na kama ni uislamu yeye ndiye Mufti wetu, haifai atokee mtu yeyote miongoni mwetu akamdhihaki hata kwa kutania TU akiwa anafuraha au ana hasira ya kitu chochote kinachohusu mpira wetu wa miguu.
Ni kweli Yanga ni kubwa kuliko coastal Union, mwenendo wa matokeo ya mechi Ile ya final ya Azam ulikuwa unaidiwaza Yanga kabla ya Yanga kupindua matokeo dakika za mwisho za mechi na kuibuka mabingwa. Furaha ya kupindua matokeo iliwafurahisha wadau wengi wa Yanga kiasi Cha kuwageuza wendawazimu (euphoric) wa muda kiasi Cha kujisahau kuwa Kuna maisha baada ya Ile mechi. Haji Manara alikuwa miongoni mwa wadau waliozidisha furaha na uendawazimu wa mpira siku ile kiasi Cha kwenda kukabiliana na kiongozi/Kadinali/mufti wake kwenye mpira.
Binafsi ninamuona kama mtu aliyeingizwa mtegoni na Ile comeback ya Yanga iliyopatikana kwa miujiza na bahati TU badala ya ubora wa kikosi Chao. Watalaam wa afya ya akili Wana kitu wanachokiita pre-morbid personality, yaani tabia ya mtu kabla ya kuipata tatizo husika. Haji maisha yake ameyawekeza zaidi kwenye soccer kiasi Cha kupitiliza. Mpira ndicho kitu pekee kinachofidia ulemavu wake alionao, na Kuna walemavu wengine kama yeye wanapata nguvu zao kwa kumtazama Manara na kazi zake na mafanikio yake kama mlemavu mwenzao.
Hivyo, kwa maslahi mapana ya mpira, Manara, walemavu na hata wadau wa mpira nataka kuamini kuwa Haji amejifunza kutokana na kosa lake, ndio maana amekuwa akiomba radhi kila mtu baada ya pale. TFF itakuwa imara sana kama itaamua kumsamehe Manara badala ya kumfungia miaka 2 na kulipwa 20m na mlemavu.
Ni mawazo yangu TU kama mdau wa mpira.
Makosa ni tofauti na sababu zake ni tofauti piaTFF toka ianzishwe imeshafungia maisha wadau wengi wa soka, Shaffiih dauda aka digala alifungiwa asijihusishe na soka na ukitazama yy alikuwa na wadhifa mkubwa DRFA na ndie mwanzilishi wa ndondo cup ila TFF haikumuonea huruma,akala nyundo zake iweje leo hii kuwe na double standard ktk kuhukumu? Yaani manara aachwe huru huku kina dauda waendelee kutumikia vifungo vyao? Au kila mtu aliyefungiwa na TFF apewe msamaha na afutiwe hukumu?
Elimu tosha hii, ahsante.Mimi naomba tu nikurekebishe kwenye hicho cheo cha juu cha ukatoliki nchini! Kwa ufupi tu ni kwamba, rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC) ndiye mwenye mamlaka makubwa kuliko hata huyo Kardinal! Maana yeye huchaguliwa na Maaskofu wote wa Katoliki nchini kushika hiyo nafasi.
Cheo cha Ukardinali kinatumika zaidi Vatican, Italy ambapo Makardinali wakioteuliwa na Papa hutumika kama washauri wake wa karibu katika masuala mbalimbali! Yaani Makardinali ni kama Mawaziri/Maparoko vile kule Vatican, halafu Papa ni Rais/Askofu wa Vatican.
Kardinali anaweza kuwa hata Padre tu wa kawaida! Muhimu tu ateuliwe na Papa katika hiyo mafasi. Hivyo si kweli kama Kardinali ndiye Mkuu wa Kanisa Katoliki kwenye nchi. Mfano kwa Tanzania; rais wa sasa wa TEC Askofu Mkuu Gervas Nyaisonga ndiye bosi wa Maaskofu wengine!
Ukitoka hapo unakuja kwa wale Maaskofu wa Majimbo mkuu mfano DSM, Mbeya, Dodoma, Arusha, Mwanza, nk. Then unakuja kwa Maaskofu wa kawaida wa Majimbo mfano Mahenge, Ifakara, Tunduru Masasi, Lindi, Geita, nk. Naamini umenielewa.
Kwani hukusoma majibu ya TFF kuhusiana na mialiko?Kwanini TFF haikuonekana kwenye siku ya wananchi? Kwanini Yanga haikualikwa mkutano wa Caf? Kwanini Yanga inayosafiri kwenda Arusha itangulie kucheza na polisi wakati Simba isiyosafiri ichelewe kucheza mechi yake, baada ya Yanga kucheza?
Nendeni mkalalamike kwa Karim Boimanda na Almas kasongo kwani wakati TPLB wanatoa fixtures za msimu mpya ,ninyi crying babies mlikuwa wapi?Kwanini TFF haikuonekana kwenye siku ya wananchi? Kwanini Yanga haikualikwa mkutano wa Caf? Kwanini Yanga inayosafiri kwenda Arusha itangulie kucheza na polisi wakati Simba isiyosafiri ichelewe kucheza mechi yake, baada ya Yanga kucheza?