Kwa style hii ya uendeshaji wa soka bongo maendeleo kupatikana sijui ni lini?
Sheria zipo lakini timu zinaambiwa wakajadiliane nje ya pannel manake nini afu wanashindwa fika muafaka kitu kula zinapigwa maana ya sheria ni nini?
Ubabaishaji mtupu na TFF yao