Tunaona sasa TFF inavyopata shida na Simba na Yanga kiasi cha kupoteza uelekeo.
Tunaona yanga wakigomea mechi yake na simba kwa kosa la kubadilishwa muda wa mechi, tunaona Yanga wakiigomea TFF kuvaa nembo ya mdhamini yenye Rangi nyekundu. Sasa hivi tunaona simba ikigomea udhamini wa GSM, tunamuona Barbara CEO wa simba akitupa kadi ya mwaliko wa VVIP kwenye mechi ya simba vs yanga huku akifanya fujo mbele za watu kuidhalilisha TFF. Yaani kajiona mkubwa kuliko TFF.
TFF inavuna ilichopanda kwenye mpira. Mbwa sasa anaawafuata hadi msikitini. Viongozi wa TFF wanashabikia timu zao badala ya kufuata kanuni zote za mpira kama zilivyo TFF, Cecafa, CAF na FIFA. Wanadharaulika sasa na thamani yao inafahamika sasa.
Eti timu inamkataa mdhamini aliyeletwa na mwenye mpira wake, TFF, umeona wapi hapa duniani ikitokea hii? TFF wanaonekana wepesi sana na watu wetu. Hii inaharibu mpira wetu kwakuwa INA set presidency kwa timu nyingine kwenye ligi.
Hawajuagi hata kujifichaHizi akili ni za kiutopolo kabisa
Very tru...lkn ndo ivyo UKWELI MCHUNGU,leo nimeona mabango ya GSM mechi ya mtibwa sijui chamanzi yatakuwepo?Tunaona sasa TFF inavyopata shida na Simba na Yanga kiasi cha kupoteza uelekeo.
Tunaona yanga wakigomea mechi yake na simba kwa kosa la kubadilishwa muda wa mechi, tunaona Yanga wakiigomea TFF kuvaa nembo ya mdhamini yenye Rangi nyekundu. Sasa hivi tunaona simba ikigomea udhamini wa GSM, tunamuona Barbara CEO wa simba akitupa kadi ya mwaliko wa VVIP kwenye mechi ya simba vs yanga huku akifanya fujo mbele za watu kuidhalilisha TFF. Yaani kajiona mkubwa kuliko TFF.
TFF inavuna ilichopanda kwenye mpira. Mbwa sasa anaawafuata hadi msikitini. Viongozi wa TFF wanashabikia timu zao badala ya kufuata kanuni zote za mpira kama zilivyo TFF, Cecafa, CAF na FIFA. Wanadharaulika sasa na thamani yao inafahamika sasa.
Eti timu inamkataa mdhamini aliyeletwa na mwenye mpira wake, TFF, umeona wapi hapa duniani ikitokea hii? TFF wanaonekana wepesi sana na watu wetu. Hii inaharibu mpira wetu kwakuwa INA set presidency kwa timu nyingine kwenye ligi.
Suala la mkataba wa TFF na GSM hakuna duniani suala kama hilo, GSM anaizamini Yanga, na timu zingine 2 ndani ya ligi moja halikubaliki ni mgongano wa maslahi ni hapo match fixing inaweza tokea, hafu tena GSM anataka kuzamini ligi hapo haiko sawa kabisa kama anataka azamini ligi ajitoe kuzamimlni vilabuTunaona sasa TFF inavyopata shida na Simba na Yanga kiasi cha kupoteza uelekeo.
Tunaona yanga wakigomea mechi yake na simba kwa kosa la kubadilishwa muda wa mechi, tunaona Yanga wakiigomea TFF kuvaa nembo ya mdhamini yenye Rangi nyekundu. Sasa hivi tunaona simba ikigomea udhamini wa GSM, tunamuona Barbara CEO wa simba akitupa kadi ya mwaliko wa VVIP kwenye mechi ya simba vs yanga huku akifanya fujo mbele za watu kuidhalilisha TFF. Yaani kajiona mkubwa kuliko TFF.
TFF inavuna ilichopanda kwenye mpira. Mbwa sasa anaawafuata hadi msikitini. Viongozi wa TFF wanashabikia timu zao badala ya kufuata kanuni zote za mpira kama zilivyo TFF, Cecafa, CAF na FIFA. Wanadharaulika sasa na thamani yao inafahamika sasa.
Eti timu inamkataa mdhamini aliyeletwa na mwenye mpira wake, TFF, umeona wapi hapa duniani ikitokea hii? TFF wanaonekana wepesi sana na watu wetu. Hii inaharibu mpira wetu kwakuwa INA set presidency kwa timu nyingine kwenye ligi.
Nchi ndogo kivipi,tanzania sio ndogoMimi ni mpenda mpira tu nchini, sijali sana usimba na uyanga. Eti nchi ndogo kama hii TFF inaruhusu wachezaji 12 wa kigeni kila timu. Yaani 12x16 . ligi imejaa wacongo
Kabisa mkuu ameharibu kila kituHawajuagi hata kujificha
[emoji2][emoji23][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]Umeandika vizuri ila umeshindwa kuficha uyanga wako
Huna unachokijua wewe, huko uingereza timu zinaigomea FA mara kibao. Kipindi Newcastle inataka kununuliwa na Bin Salman timu ziligoma na FA ikanywea na kusitisha ununuzi wake kwa muda hadi uchunguzi ufanyike. La Liga mwaka juzi kama sikosei ilitaka kuingia mkataba na kampuni ya kimarekani ili baadhi ya mechi zikachezwe US, timu zikaukataa. Na juzi tu, Real Madrid, Barcelona na Athletic Bilbao zimegomea mkataba baina ya laliga na kampuni ya CVC, wanatarajia kufhngua kesi. Kwahiyo kama wewe ni mbumbumbu, baki na umbumbumbu wako, usilazimishe wengine waungane na wewe.Tunaona sasa TFF inavyopata shida na Simba na Yanga kiasi cha kupoteza uelekeo.
Tunaona yanga wakigomea mechi yake na simba kwa kosa la kubadilishwa muda wa mechi, tunaona Yanga wakiigomea TFF kuvaa nembo ya mdhamini yenye Rangi nyekundu. Sasa hivi tunaona simba ikigomea udhamini wa GSM, tunamuona Barbara CEO wa simba akitupa kadi ya mwaliko wa VVIP kwenye mechi ya simba vs yanga huku akifanya fujo mbele za watu kuidhalilisha TFF. Yaani kajiona mkubwa kuliko TFF.
TFF inavuna ilichopanda kwenye mpira. Mbwa sasa anaawafuata hadi msikitini. Viongozi wa TFF wanashabikia timu zao badala ya kufuata kanuni zote za mpira kama zilivyo TFF, Cecafa, CAF na FIFA. Wanadharaulika sasa na thamani yao inafahamika sasa.
Eti timu inamkataa mdhamini aliyeletwa na mwenye mpira wake, TFF, umeona wapi hapa duniani ikitokea hii? TFF wanaonekana wepesi sana na watu wetu. Hii inaharibu mpira wetu kwakuwa INA set presidency kwa timu nyingine kwenye ligi.
Utopox ajue nini sasa.Huna unachokijua wewe, huko uingereza timu zinaigomea FA mara kibao. Kipindi Newcastle inataka kununuliwa na Bin Salman timu ziligoma na FA ikanywea na kusitisha ununuzi wake kwa muda hadi uchunguzi ufanyike. La Liga mwaka juzi kama sikosei ilitaka kuingia mkataba na kampuni ya kimarekani ili baadhi ya mechi zikachezwe US, timu zikaukataa. Na juzi tu, Real Madrid, Barcelona na Athletic Bilbao zimegomea mkataba baina ya laliga na kampuni ya CVC, wanatarajia kufhngua kesi. Kwahiyo kama wewe ni mbumbumbu, baki na umbumbumbu wako, usilazimishe wengine waungane na wewe.
Genge La Wahuni Wachache Wachache Kama Yanga Na TFFTFF ni kikundi cha wahuni tu
Fly Emirates inavaliwa na timu ngapi huko Ulaya? Je, timu hizo hazikutani kwenye ligi zao, UEFA, nk? mo alikuwa haidhamini Namungo?Suala la mkataba wa TFF na GSM hakuna duniani suala kama hilo, GSM anaizamini Yanga, na timu zingine 2 ndani ya ligi moja halikubaliki ni mgongano wa maslahi ni hapo match fixing inaweza tokea, hafu tena GSM anataka kuzamini ligi hapo haiko sawa kabisa kama anataka azamini ligi ajitoe kuzamimlni vilabu
Mimi siko simba wala Yanga kwenye hili, na kama tutaendekeza mpira wa usimba na uyanga kwenye maswala nyeti timu zetu zitashindwa Rivers na Galaxy mechi za kwanza kwanza tu miaka yote. TFF inaziweka mabegani mwake timu mbili tu kwenye ligi na kuzipatia ushindi usiostahili kwenye ligi, huku ni kujidanganya sisi wenyewe mbele ya mashindano ya CAF. Timu inafikishwa robo finali na TFF kwa kupewa viporo 9 kwenye ligi, huu ni upuuzi sawa na upuuzi mwingine, uliona wapi duniani kote? Hizo timu nne za upendeleo zinazopatikana kwa timu yetu kufikishwa robo finali na TFF hazina ubora, zinashindwa kufua dafu kwenye mashindano pamoja na timu yenyewe iliyofika robo finali.