TFF hamstahili kusamehewa ushuru vya vifaa vya michezo

wakimataifa

JF-Expert Member
Nov 16, 2014
942
167
Nasema hivyo itakuwaje muandae Kagame Cup aka bonanza la Musonye ilihali muandaaji atafute wadhamini mnashindwa kutafuta watu wa kuwasaidia kulipa ushuru?

Kwanza huo uwanja wa kaitaba ni uwanja wa ukoo wa malinzi au mnaleta mambo ya kisiasa.na mdio mnaitwa TANZANIA FITINA FEDERESHENI (TFF)
 
Hoja ni ipi hasa? kama FIFA na pesa zake zote inapewa msamaha wa kadi kwenye kombe la dunia sembuse TFF! Jenga hoja acha ku-personalise issues.

Hivyo viwanja vitatumiwa na umma, timu ndogo na kubwa, shule na vyuo...kwenye suala la maendeleo tusilete chuki binafsi.
 
Serikali sio wajinga. TFF waliweza kuacha ofisi zao za bure pale Karume na kwenda kupanga na kulipa mamillion ya pango kule Town Centre. Na isingekuwa FIFA kuja juu, bado wangekuwa wanaendelea kulipa hayo mamiliion ya pango. Iweje washindwe kulipa ushuru wa nyasi bandia kama wana uwezo wa kulipa pango bila sababu za msingi? Hiyo saving wanayofanya baada ya kutimuliwa Town Centre na FIFA, walipe ushuru wa nyasi bandia.

Huenda hela waliyolipa kodi kule mjini ingeweza kulipia ushuru na change kubaki. Very poor planning on TFF's part .
 
Hoja ni ipi hasa? kama FIFA na pesa zake zote inapewa msamaha wa kadi kwenye kombe la dunia sembuse TFF! Jenga hoja acha ku-personalise issues.

Hivyo viwanja vitatumiwa na umma, timu ndogo na kubwa, shule na vyuo...kwenye suala la maendeleo tusilete chuki binafsi.

wewe muhusika no 2 kagame mnaifurahikia kwa viposhoposho ligi imeshaisha
 
hata mimi nawashangaa tff kutaka wasamehe ushuru kwanza nani mmiliki wa kaitaba,pili kile kiwanja kinaendeshwa kibiashara tatu tff wametumia pesa nyingi kwa matumizi ya ovyo kama kuhamisha ofisi na maboresho ambayo hayajaleta tija ya vijana wakati wamefungiwa miaka mitano kwa kushindwa kuthibitisha kushiriki michuano ya vijana hawastahili kabisa kusamehewa
 
wewe muhusika no 2 kagame mnaifurahikia kwa viposhoposho ligi imeshaisha
Jifunze kujielezea sio kuchanganya mambo binafsi. Tuambie ni kwa nini TFF hawastahili kupewa msamaha wa kodi.

Wazungu na kampuni zao kubwa zenye pesa maradufu wanapewa misamaha ya kodi hapa nchini kwa nini taasisi ya TFF isipewe? Toa hoja, sio kuleta mambo binafsi, what I do to earn a living is none of your business, what you do get your daily bread is not my business. Tubaki kwenye hoja.
 
Back
Top Bottom