TFF haina pesa!

TFF haina pesa!

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,708
Reaction score
1,734
Nimemsikia rais wa TFF akifafanua uamuzi wa kupeleka waraka kwa wajumbe kukubali au kukataa kufanya mabadiriko katika katiba yake eti ni ukosefu wa pesa. Ninasangaa kwa hilo kwani CECAFA huleta mashindano yao hapa kwa gharama ya TFF?
 
nimemsikia rais wa tff akifafanua uamuzi wa kupeleka waraka kwa wajumbe kukubali au kukataa kufanya mabadiriko katika katiba yake eti ni ukosefu wa pesa. Ninasangaa kwa hilo kwani cecafa huleta mashindano yao hapa kwa gharama ya tff?
wewe umeona zile suti babu kubwa wanazovaa ? Utafikiri ni maseneta wa marekani.duhhhh
 
Back
Top Bottom