Ili msgs ziende kwa intaneti si inabidi huyo unayemtumia nae awe ameenable au ukienable tu ww inatosha?Hata Google anayo RCS sema wabongo wengi hawajajua na hawaitumii. Hiyo hiyo app ya simu ukienable rcs inafanya kazi kama iMessage, kama mtu akaenable rcs msg znaenda via internet na inakuwa na features zote za iMessage zile za typong, kutuma video picha voice note n.k. mm nimenable ila niwa tu wawili tu ndio nao wame enable
Inabd awe ameenable na yeye na utajua kwa kuona wakat wa imendika chatIli msgs ziende kwa intaneti si inabidi huyo unayemtumia nae awe ameenable au ukienable tu ww inatosha?
Hata mimi nilikuwa sijui mkuu, mara ya mwisho natumia android sikuwa natumia app ya Google Messaging. Big up mkuu.Hata Google anayo RCS sema wabongo wengi hawajajua na hawaitumii. Hiyo hiyo app ya simu ukienable rcs inafanya kazi kama iMessage, kama mtu akaenable rcs msg znaenda via internet na inakuwa na features zote za iMessage zile za typong, kutuma video picha voice note n.k. mm nimenable ila niwa tu wawili tu ndio nao wame enable
Nimejarib hii moodHakuna SMS APP nzuri kama Mood Messanger! Vizuri uinunue au upate cracked ake kama utabahatika, Hii app ina features zooote unazokutana nazo huko kwenye sms app messangers nyingine tena na zaidi, ni nzuri sana na UI yake iko bomba na nyepesi sio nzito kuload! Naweza kusema nmejaribu karibia 70% ya SMS APPs zote za duka la Google Play Store ila Mood Messanger pekee ilinivutia, na mwaka 2019 niliamua kuinunua kihalali kabisa lifetime na sasa napokeaga beta na offical updates zote bila shida...
.....Ugumu wake upo kwenye kui customize tu ili upate raha ya kuitumia make ina tu setttings twingiii ila kama ww ni mtundu wa kuchokonoa simu at least lugha ya kutumia smartphones [kama uko familia na lugha ya kiteknolojia zaidi] hakika utaifurahia.. Unaweza backup sms na settings zote za app yako kwenye Google Drive wakati wote, hii itakusaidia ku restore chats zako endapo utapoteza simu/kuuza na ukaja pata nyingine..
Iko poa mno... Nipenda sanaNimejarib hii mood
Matokeo yake nimefuta app ya textra hahaha
Ipo poa sanaaaa
Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
Hapana bana m napenda good chatting themeHapa nahisi mnaowaza hizo apps ni wamilikk wa infinix , tecno na itel
Ni nzuri?Wale wa chomp sms tunacomment wap
By the way developer wa textra ndio katengeneza chomp sms