Kuna mfano wa audio ambayo ni kipande cha uzi wa mwana JF nilikuwa najaribu kuweka, sijui kinacheza kwenu? Hata kama hakichezi haina shida.
OK, copy hii
MS Speech Bot kisha paste kwenye telegram.
Uta-paste hii link kwenye telegram yako
Chagua lugha unayotaka kuconvert
Chagua msomaji kama ni wa kike au kiume
Chagua vile vidoti vitatu huku huku Chini ili ikupeleke kwenye docs unayotaka kuconvert
Baada ya kuchagua subiri imalize kazi kisha save audio yako.
Mambo mengine utajiongeza
View attachment 2607610