Mtu mbalimbali
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 337
- 427
asante mkuu nitaipitiaTumia moon reader inayo hio feature ila sema inalack emotional katika matamshi Mara Mia utafute audiobook chifu
vitabu ninavyo vingi,sidhani kama vyote ninaaudio booksAudio book ninge ku recommend. Tafuta audio yake then usikilize
hiz audio napata wapiHakuna kitabu kisicho na audio yake,
asante bossLibrera reader
Kama msomaji wa google humtaki, unaweza download wasomaji wengineasante boss
Librera ni nzuri, lakini ina mapungufu ya kuwa na User Interface isiyo friendly, ukilinganisha na ePrestigio Reader. So narecommmend hiyo. Nimetumia hii Kusikiliza Crime and Punishment, Brothers Karamazov, na novels nyingi kadhaa, bila kwa urahisi kabisa.asante boss
hii nayo naipitia nipime ipi boraLibrera ni nzuri, lakini ina mapungufu ya kuwa na User Interface isiyo friendly, ukilinganisha na ePrestigio Reader. So narecommmend hiyo. Nimetumia hii Kusikiliza Crime and Punishment, Brothers Karamazov, na novels nyingi kadhaa, bila kwa urahisi kabisa.
Uzuri wake pia inakuwezesha kuchagua sauti.
Librera ni nzuri, lakini ina mapungufu ya kuwa na User Interface isiyo friendly, ukilinganisha na ePrestigio Reader. So narecommmend hiyo. Nimetumia hii Kusikiliza Crime and Punishment, Brothers Karamazov, na novels nyingi kadhaa, bila kwa urahisi kabisa.
Uzuri wake pia inakuwezesha kuchagua sauti.
Ingependeza kama ungeweka link hapa atakayekuja in future akute kuna swali liliulizwa na solution ikapatikana hapa.Nitumie email yako nitakutumia link kesho inasoma hadi kiswahili.
Mwaka 2018 nilikuwa nafanya kazi pahala fulani, kuna docs ilikuwa ni lazima ziwe kwa audio.
Nilikuwa natumia pistonsoft, ili kuboresha sauti nilikuwa naongezea sauti kutoka program nyingine iliitwa Ivona ambapo wasomaji ni Amy kwa UK English, Kendra kwa US nk.
Hii kwangu ilikuwa ni the best.
Kuna kitabu kinaitwa Ansons Law of Contract (wanasheria 1st year wanakijua) kilikuwa na page 800+ sawa na urefu wa masaa 74 niliwahi kukibadilisha kikatoka vizuri sana ila bahati mbaya sina kumbukumbu tena.
na kwa bahati mbaya tena ivona na piston soft nilizitafuta hazifanyi kazi tena.
Sawa, baadaye.Ingependeza kama ungeweka link hapa atakayekuja in future akute kuna swali liliulizwa na solution ikapatikana hapa.