Habari ya leo ndugu yangu, kwa heshima na taadhima nina furaha kukutarifu kwamba ninatarajia
kufunga NDOA tarehe 31/02/2015. Ukiwa kama rafiki yangu wa karibu naomba mchango wako
kwa hali na mali. Natanguliza shukrani za dhati kwako. nimekualfu mapema tushikamane Ubarikiwe sana!!!