P Posa Member Joined Nov 12, 2010 Posts 76 Reaction score 79 May 8, 2012 #1 inakuwaje pale ambapo rais anamteua mtu kutoka kwenye private entity, tena wa kada ya kawaida/chini. Amemfahamia wapi? kama sio kwenye vijiwe visivyo rasmi. Na zaidi kumsaidia katika kazi ambayo profession yake.
inakuwaje pale ambapo rais anamteua mtu kutoka kwenye private entity, tena wa kada ya kawaida/chini. Amemfahamia wapi? kama sio kwenye vijiwe visivyo rasmi. Na zaidi kumsaidia katika kazi ambayo profession yake.
MD25 JF-Expert Member Joined Jan 28, 2012 Posts 3,074 Reaction score 1,030 May 8, 2012 #2 Huwezi jua wamekutana wapi, si unajua mutu ya musoga ni kipezi ya watu especial hiyo jinsia....
JAPUONY JF-Expert Member Joined Jul 16, 2010 Posts 383 Reaction score 186 May 8, 2012 #3 Unashangaa nini wewe, hadi leo wapo watu ni Wakuu wa Wilaya, Directors, RCs walitoka vijiweni na sasa wanafanya kazi za serikali.
Unashangaa nini wewe, hadi leo wapo watu ni Wakuu wa Wilaya, Directors, RCs walitoka vijiweni na sasa wanafanya kazi za serikali.