wenzako huwa wanawahi number asubuhi CCBRT tena uende saa kumi alfajiri. Nakufikiria sasa wewe Sa 7 mchana utaweza kweli kuwahi kule maana matatizo ya macho yakifikia ubongo unachanganya maneno utafeli🤣Heading ya uzi imenishitua, nikajua mama ameteua Tezi dume
Mkuu niliyo andika ni uongo?Sijui kwanini sasa JF imetawaliwa na vijana wanaopenda kusema Udini na ukabila. Kila kiti ni udini na ukabila. Kuhusu vijana hata mimi ningekuwa Rais nisingeteua kwani tunayaona humu maofisini. IQ ni ndogo, Maringo na tamaa ya pesa ya haraka haraka. Tumeona teuzi za Magufuli zilizozalisha Akina Sabaya, Makonda, Happy n.k.
Endelea kuwa na mawazo mgando badala ya kukemea. Ww unadhani kufumbia jicho tatizo ndio kulitatua?Mambo ya ukabila na udini ni ujinga uliopitiliza. Kuanzia kwa anayeufanya hadi kwa anayeushabikia kama wewe mleta mada.
Katia teuzi kama anayeteuliwa ni mtanzania basi...hayo mengine ni mbwembwe tu.
Btw, Kama kuna kiongozi aliyevunja rekodi ya kuteua kwa kuangalia dini na ukanda basi ni Magufuli, Samia akasome!
We Jamaa mpuuz* sana....Huu uzi ungeuanzisha kipindi kile Mwendazake anateua Kanda ya ziwa tena wa dini moja tu, ungekuwa wa maana sana.Hii nchi yetu sija jua inaendeshwaje kwa kweli. Kama Taifa hatuna Dira ya muda mrefu. Na kama nchi hatuandai vijana wa kuongoza serikali na taasisi mbalimbali. Kila Rais mpya ata kuja na wateule wake wapya. Ata ondoa vijana bora na kuweka wa hovyo. Wengine wamepewa tuhuma za uongo ili kuhalalisha tu kuondolewa kwao. Pia, tumeacha taratibu na misingi ya promotion serikalini. Ila tuna ongozwa na milengo ya kisiasa, makundi, ukabila, kujuana, kujipendekeza, nk. Hii kitu tuikemee. China haijengwi hivyo!!
Jambo la pili, ni UDINI katika teuzi. Hivi karibuni iwe nafasi ya juu, majeshi, makatibu wakuu, Wakurugenzi, nk, kupitia page ya Msemaji wa Serikali toka Rais ateuliwe, ame kuwa na tabia ya kuteua Wakiristo ktk nafasi za Mwenyekiti wa Mashirika/Boards na Watendaji wakuu wa taasisi au serikali akiteua Waislam. Ngazi ya juu kukiwa na mkiristo, mtendaji mkuu wa taasisi hiyo Rais ataweka Muislam. Nina uhakika na hili by 95% nimekuwa nikifuatilia. Hii ni kuondoa Wakiristo ktk utendaji wa Serikali. Sijakupangii ni nani uteue. Ila mm kama mwananchi nina uhuru wa kutoa maoni na ushauri wangu, kwa nia njema ya Taifa langu.
Hii mbegu ni mbaya sana. Isipo dhibitiwa mapema. Tuta ingia baadae kwenye ukabila.
Watu wateuliwe kutokana na Elimu, Uzoefu, utendaji kazi na umahiri wake. Samaki mkunje angali mbichi.
Akina mzee wa Sinde Warioba, Pinda, nk wanaona na wanajua ila wanaogopa kudharalishwa na hutu tu vijana kama akina Makonda, Happi, Sabaya kama mlivyo watumia hapo awali.
Watanzania wenzangu, Tanzania ni yetu sote. Tusiogope kuikosoa na kuishauri serikali kwa maslahi mapana ya Tanzania.
Achana na mawazo ya kizombi hayaHii nchi yetu sija jua inaendeshwaje kwa kweli. Kama Taifa hatuna Dira ya muda mrefu. Na kama nchi hatuandai vijana wa kuongoza serikali na taasisi mbalimbali. Kila Rais mpya ata kuja na wateule wake wapya. Ata ondoa vijana bora na kuweka wa hovyo. Wengine wamepewa tuhuma za uongo ili kuhalalisha tu kuondolewa kwao. Pia, tumeacha taratibu na misingi ya promotion serikalini. Ila tuna ongozwa na milengo ya kisiasa, makundi, ukabila, kujuana, kujipendekeza, nk. Hii kitu tuikemee. China haijengwi hivyo!!
Jambo la pili, ni UDINI katika teuzi. Hivi karibuni iwe nafasi ya juu, majeshi, makatibu wakuu, Wakurugenzi, nk, kupitia page ya Msemaji wa Serikali toka Rais ateuliwe, ame kuwa na tabia ya kuteua Wakiristo ktk nafasi za Mwenyekiti wa Mashirika/Boards na Watendaji wakuu wa taasisi au serikali akiteua Waislam. Ngazi ya juu kukiwa na mkiristo, mtendaji mkuu wa taasisi hiyo Rais ataweka Muislam. Nina uhakika na hili by 95% nimekuwa nikifuatilia. Hii ni kuondoa Wakiristo ktk utendaji wa Serikali. Sijakupangii ni nani uteue. Ila mm kama mwananchi nina uhuru wa kutoa maoni na ushauri wangu, kwa nia njema ya Taifa langu.
Hii mbegu ni mbaya sana. Isipo dhibitiwa mapema. Tuta ingia baadae kwenye ukabila.
Watu wateuliwe kutokana na Elimu, Uzoefu, utendaji kazi na umahiri wake. Samaki mkunje angali mbichi.
Akina mzee wa Sinde Warioba, Pinda, nk wanaona na wanajua ila wanaogopa kudharalishwa na hutu tu vijana kama akina Makonda, Happi, Sabaya kama mlivyo watumia hapo awali.
Watanzania wenzangu, Tanzania ni yetu sote. Tusiogope kuikosoa na kuishauri serikali kwa maslahi mapana ya Tanzania.
Jikite ktk mada Mkuu. Wasomi hawana Singeli mdomoni. Ni kweli au si kweli?Huu uteuzi wa mkurugenzi wa LATRA inaelekea umekuuma sana au aliyetolewe Mr Ngewe ni baba yako? au uliahidiwa atateuliwa mmeo/mkeo?
Mada ya kipuuzi kipindi cha awamu ya 5 mlikuwa wapi mje mjitokeze sasa na huu ujinga wenu??Jikite ktk mada Mkuu. Wasomi hawana Singeli mdomoni. Ni kweli au si kweli?