GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,424
- 120,768
Yule Msemaji Mkorofi na mwenye sifa na majigambo wa Klabu moja Kesho anategemewa kuhukumiwa Kifungo cha kati ya mwaka mmoja ( 1 ) hadi mitatu ( 3 ) ila uwezekano wa kufungiwa kutojihusisha na masuala ya Michezo kwa miaka mitatu ( 3 ) ni mkubwa nikimaanisha 100%.
Akhsante sana TFF japo kitendo hiki au hatua hii kwa wenye kuzingatia nidhamu ya Soka na Maadili yake tunaona kama vile mmechelewa ila kuna kauli ya Waingereza isemayo " better late than never " hivyo basi tunawashukuru kwa hilo.
Wanamichezo wote bila kujali wa Mnyama mnyamani ( Msimbazi ) au wa Chura churani ( Jangwani ) tumelipokea na hiyo Kesho mkishampa Mtu discipline yake mtakuwa mmetufurahisha na kuanzia sasa tutakuwa sasa tunaanza kurudisha imani yetu kwenu.
Jioni njema / Usiku mwema.