Tetesi: Wachina wafukuzwa Kariakoo?

Tetesi: Wachina wafukuzwa Kariakoo?

Brodre

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
2,587
Reaction score
1,855
Kumekua na taarifa kwamba kuna wachina wanauza vitu kwa bei nafuu kariakoo sababu wameambiwa waondoke je kuna ukweli?
 
Nimetoka kkoo leo hakuna kitu kama hicho nimeona wachina wanaendelea na biashara zao kama kawaida
 
Nimetoka kkoo leo hakuna kitu kama hicho nimeona wachina wanaendelea na biashara zao kama kawaida

Sheria ya makosa ya mitandao iwashughulikie waliozusha huo uongo
 
Back
Top Bottom