Urusi yalipa kisasi kwa marekani yamtunia trump kuivuruga,mpango wa kumsaidia kuingia madarakani ulisukwa kwa ustadi mkubwa.Baada tu ya kuingia madarakani akaiondoa nchi yake kwenye makubaliano ya nyuklia na Iran ,akapunguza ushiriki Wa USA kwenye NATO ,akajiondoa UNESCO ,akaanzisha mgogoro wa kibiashara na washirika wake wa ulaya pamoja China ,kuutsmbua mji wa Jerusalem kama mji mkuu wa Israel nako kumesababisha kumtenga kwa washirika wake wa mashariki ya kati ikiwemo na utvruki ambayo imeegamia sasa kwa mahasimu wake yaani vrusi na Iran.vikwazo vya upande mmoja alivyoiwekea Iran ambavyo vimefeli baada ya dunia kujitenga navyo.migogoro ya kiuongozi katika uongozi wake ,kujiuzuru kwa wateule wake kama makamo wa rais,msemaji wa ikulu pamoja na waziri wake wa ulinzi kumezidisha mpasuko ndani ya ungozi Wa trvmp .pia kuwatusi waafrika kuwa wanafaa kutawaliwa tena kumesababisha kutoheshimika barani afrika.hizi ni tetesi tetewa.kutoka mawinguni