Tetesi; Ni kweli mafuta ya mamba yanatibu vidonda vya tumbo?

Investaa

JF-Expert Member
Jul 3, 2015
795
656
Kuna jamaa yangu jana aliniambia kuwa mafuta ya mamba ni dawa ya vidonda vya tumbo, kuna jamaa yake alipona kabisa vidonda vya tumbo. Kuna raia huu ndani alishasikia kitu kana hiki au alishajaribu kutumia. Jamaa anasema yanapatikana Tanga.
 
Ukiwa na akili zako za primary school kuwa watu wote hapa JF wako hapo ulipo wewe.... Wengine ndo tunapata lunch mida hii, kama ulikuwa hujui
Lakini sijakuuliza wewe! Au ndo nyie ni 'mwili mmoja'??? Na kama ni hivyo mtwambie nani baba nani mama?
 
Hata mimi nimesikia mate ya Simba yanaongeza nguvu za kiume. Na mkojo wa Punda ukipaka kwenye ume unarefushaa Uume.:eek:o_O;)
 
Back
Top Bottom