TETESI: Mwenyekiti wa Simba, Murtaza Mangungu kujiuzulu muda wowote kuanzia sasa

Labani og

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
15,776
24,211
𝗕𝗔𝗗𝗒 π—›π—”π—π—”π— π—¦π—˜π— π—” π— π—”π—žπ—’π—Ÿπ—’

Huko ukoloni kumechafuka Mwenyekiti amepewa muda ajiuzulu mwenywe bila shuruti

Hii imeenda bado sasa wenye timu yao marafiki wa HAWAMTAKI mwenyekiti wao upande wa wanachama.leo saa 11 jioni uso kwa uso na mwekezaji.

#NOTE Nipo na nyie kwa bega kwa bega.Huyu Tege alikuwa swaiba wake sana mwenyekiti wa wanachama.

NB;Nitakuwepo posta leo kusubiri huu ubuyu.....labda mniueeee Makolo...

Cc: Castor Yanga news
1699275628526.jpg
 
Kama heading inavyojieleza kwa story za jikoni kabisa na tetesi nilizozipata kutoka ndani ya simba.. zinaeleza,mwenyekiti wa Simba murtaza mangungu amepewa masaa kadhaa ya kujiuzulu nafasi yake..Viongozi na wajumbe na wanachama wa simba wameanza kunyoosheana vidole wakituhumiana kwa usaliti ndani ya klabu.. Stay turned...View attachment 2806883
Tumefungwa goli 5. Lakini kabla matanga kuisha tumeanza kushikiana mapanga wenyewe.

Simba tuna nini lakini?

Mkuu GENTAMYCINE ulitabiri tutafungwa. Lakini haya yanayoendelea hayakuwemo kwenye hadidu😐
 
Nikipata nafasi nitaandika upupu wote kuanzia Mo, mangungu, Try again, Body ya kurugenzi, na Benchi la ufundi scauti na analyst wao.
Kipindi timu inafanya vizuri nyie nyie ndiyo mlikuwa seat ya mbele kusifia., acheni unafiki mpira utabaki kuwa mpira tu. Sas ni zamu ya kijani kupata furaha, hautakuwa mpira kama Simba tu itakuwa bora miaka nenda rudi.

Angalia England, Man U leo anasuasua tu na kuna kipindi Arsenal, Liverpool, Chelsea walikuwa wanasuasua, huo ndio mpira.
 
Huko ni Ulaya usilete mifano ya Ulaya kwenye professionalism ulinganishe na huku Mpwayungu!
 
Back
Top Bottom