hapa ndugu yangu si mahali pake! Kumbuka maadili ya ualimu yanakufundisha kuheshimu taaluma na hadhi ya walimu kuweka hapa jf mishahara ya walimu ni udhalilishaji wa kada hiyo. Wewe subili kwenye saraly slip yako. Umewahi kuambia mishahara ya askari humu jf. Tulia!nasikia wanataka kupunguza mishahara ya wlimu maana walimu ni shamba la bibi
hapa ndugu yangu si mahali pake! Kumbuka maadili ya ualimu yanakufundisha kuheshimu taaluma na hadhi ya walimu kuweka hapa jf mishahara ya walimu ni udhalilishaji wa kada hiyo. Wewe subili kwenye saraly slip yako. Umewahi kuambia mishahara ya askari humu jf. Tulia!