Tetesi kuwa Putin amepinduliwa

Sasa minashangaa unapo weka taarifa kuwa nchifulani kumefanyika mapinduz wakat sikweli ni kuuza habari au kwakuwa na chukitu? labda wanampango huo
 
Marekani wabaaya, vile vikwazo naona vinaiumiza sana urusi, hizi habari zinasemwa semwa usishangae siku moja zikajitokeza na kuwa kweli.

Siwashauri kumuiga alsahaf yule wa iraq waziri wa sadam huseni
Ni kweli kwa sasa vikwazo vinaiumiza sana Russia, but with time, vinaweza ku-backfire na Marekani akawa victim of her own machinations. Hilo la kupinduliwa Putin kwa sasa ni gumu. Vikwazo vimewaunganisha zaidi warusi.
 
Hilo libwege linafikiria kila mleta mada huwa ndio source, pia nimeweka hadi na link ya chanzo. Halafu ifahamike Putin hapo alipo ni kinyango tu cha majenerali, anaweza akapigwa chini wakati wowote na bila shida yoyote.
Miaka tisa inakaribia kuisha na Putin bado yupo sana!
 
Sio rahc kiivyo
 
Kumbe kuwanga ulianzaga zamani sana
 
Umeanza kuwalisha matango pori mandina wenzako matango kwa muda mrefu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…