Tetesi kuhusu chuma ulete

Tetesi kuhusu chuma ulete

dungadunga

Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
26
Reaction score
1
kuna jamaa yangu amenipa elfu themanini nikahesabu vizuri pesa ipo sawa. Kufika sehemu kukupara bia mbili nikahesabu nikahesabu nikakuta nina elfu sitini na tano. Sasa nashangaa ile kumi na tano imeenda wapi? Iyo baa nilipo sijapanda gata gari ni karibu na home
 
Du umelewa kwa kuona bar. wewe ni kiboko. ukija Sinza kuanzia kona bar mpaka shekilango si utakua umekata network kwa kuona bar.
 
Kwani Umesahau ulivyo kunywa raundi yapili na kichwa panzi chako ukasema patia meza ile kama walivyo mbili mbili kama wewe?
Unapga hesabu ya pungufu ya hela akati ulikua bar we kweli upepo.
 
Alikua anajitia papaa ananunulia watu asio wajua. kisa pesa ya dili. Kaka kama pombe huiwezi tuachie wenyewe. hata kama hukutoa ofa unataka kusema bia saba tu umekata network ? Angalia duka lisibomolewe.
 
Hamna chuma ulete wala chuma uchukue we mwenyewe ni tatizo,punguza viroba.
 
Ndugu yangu itakuwa yule kimwana uliye kwa Nate kakupiga.
 
Hiyo Bar ulipo ina huduma za prepaid, huhitaji kuchungulia salio wewe agiza tu wao walishachukua malipo ulipotia team hapo
 
Hiyo Bar ulipo ina huduma za prepaid, huhitaji kuchungulia salio wewe agiza tu wao walishachukua malipo ulipotia team hapo

Nimeamua nizimalizie hapa zote aisee. Nimebakiza elfu tano tu. Tena nimeificha kwenye soski nauli ya kunirudisha home
 
Alikua anajitia papaa ananunulia watu asio wajua. kisa pesa ya dili. Kaka kama pombe huiwezi tuachie wenyewe. hata kama hukutoa ofa unataka kusema bia saba tu umekata network ? Angalia duka lisibomolewe.

wewe kama unakiu uje nikununulie.
 
kuna jamaa yangu amenipa elfu themanini nikahesabu vizuri pesa ipo sawa. Kufika sehemu kukupara bia mbili nikahesabu nikahesabu nikakuta nina elfu sitini na tano. Sasa nashangaa ile kumi na tano imeenda wapi? Iyo baa nilipo sijapanda gata gari ni karibu na home

fores.jpg 554673_445338875493725_1536641268_n.jpg
 
Back
Top Bottom