Tetesi: Inspector Haroun atoswa WCB

Tetesi: Inspector Haroun atoswa WCB

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,900
Reaction score
37,694
Taarifa za ndani zinasema mwanabongofleva kutoka Temeke, aliye tikisa mwishoni mwa miaka ya tisini na mwanzoni mwa miaka ya bongofleva, Haruna Rashid Juma Kahena, alamaarufu kama Inspector Haroun, ametoswa kujiunga na WCB iliyo chini ya Diamond Platnums.

Inasemekana Inspector Haroun alivutiwa na wazo la kwenda kujaribu WCB ili aweze kutoka tena kimuziki, baada ya kujaribu kutoka mwenyewe mara kadhaa bila mafanikio.

Ikaelezwa kuwa alivyo peleka ombi lake WCB, alitoswa na uongozi kwa kumwambia, hana kiwango cha kukaa pale WCB.

=====================

Kama ni kweli, pole sana Babu.
 
Back
Top Bottom