TETESI: HAKUNA MATATA YA MARIOO KUPIGWA REMIX NNE

EXPULSION

JF-Expert Member
Apr 1, 2015
387
283
Kuna TETESI kuwa hakuna matata nyimbo mpya ya MARIOO kufanyiwa remix nne

Remix hizo ni kwa wasanii wafuatao

1. Diamond
2. Harmonize
3. Alikiba
4. Darasa

Watu wanasubiri kuona ipi itakuwa Kali zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…