Povu La Nini Ndugu? Nauliza Yaani Mtu Mkubwa kama Koffi afariki wewe ndio uwe wa kwanza Kujua? Yaani Hata ITV wazee wa Breaking News hawajapata, News Room yao wapo 24 Hrs wanaangalia channels za Duniani Kote.

Kati yangu na wewe nani MJINGA? Umepewa taarifa bila hata kutafakari au kuangalia kwenye source za uhakika unakurukupa na kuja kujaza server za JF,Acha UBASHITE wewe KILAZA wa KOROMIJE.....HIZO HOAX Zipo Tangia January umekuja kuleta LEO,SIKU YENU YA WAJINGA ILIISHA JANA SAA NNE ELEWA WEWE MBWIGA WA MBWIGUKE.