commited
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 1,626
- 870
Habari zenu wakuu,
naomba niripoti tetesi hii kutoka kwa jamaa yangu aliyeko arumeru east kunakofanyika kampeni za ubunge wa jimbo hilo kuwa..ccm wameendelea kununua kadi za kupigia kura kwa tsh 100.000/= kila moja. Naomba ndugu zangu kama kuna mwenye data zaidi na uhakika na hili atujuze kwa sababu siasa si ugomvi tunachotaka ni sera nzuri na zinazotekelezeka. Atakayeshinda kihalari atangazwe na tume ya uchaguzi na awatumikie wananchi, na atakayeshindwa basi akubari. Mwenye taarifa zaidi atujulishe tafadhali