Tetemeko: Magufuli vs Museveni

Bome-e

JF-Expert Member
Jan 3, 2014
17,142
26,132
Tetemeko lililowapata ndugu zetu wa kagera limeacha maswali mengi hasa baada ya Rais JPM kutembelea Kagera na kutoa hotuba pamoja na msimamo wa serikali!Pia ifahamike kuwa tetemeko hilo liliathiri mpaka sehemu ya Uganda na kuharibu nyumba takribani 80!
Bila shaka tumeona serikali ya Tz ilivyoshughulikia sakata hilo!Ni vema tukaona majirani zetu na wahanga wenzetu namna walivyoshughulika na athari hizo upande wa Uganda!Msome Museven hapa chini:

President Yoweri Museveni has said that the Movement Government will help rebuild houses that were destroyed by last month’s earthquake that hit Rakai district.

The President was speaking to residents of Nangoma Parish in Kyebbe in Kakuuto Constituency in Rakai district where he travelled yesterday to assess the damage caused by a tremor of a magnitude of 5.9 on the Richter scale on 10th September 2016. In Uganda, the tremor mostly affected Nangoma in Kyebe Sub-County near Kakuuto where nearly 80 houses collapsed at Minziiro and more than 40 others at Kannabulemu, including a Police Post. The earthquake whose epicenter was in Tanzanian Lake Victoria area in Bukoba also jolted the Kagera Region in Northern Tanzania.

"Each house should get 13 iron sheets, the necessary cement needed and iron rods so that your houses do not collapse again," he said.

President Museveni noted that although Nangoma does not have a big population he is going to grant them another Sub-Country to ease service delivery.

"Government, which is not near the people, is not good and affects service delivery. Even if the numbers are not so many here, I am going to give you another Sub-County because your neighbours in Ssese were given a new district although they are only about 10,000," he said.

In January 2014, residents of Nangoma sought to secede from Rakai district citing lack of basic social services such as tarmac roads, schools and hospitals.

The residents, who are mostly fishermen, accused Rakai district administration of what they say is long-standing neglect. Nangoma has a single Primary School and a Health Centre II and no electricity. They also complained about the poor transport to Nangoma saying it takes about forty five minutes on a boat cruise from Kasensero Landing Site to Nangoma while on road, one has to cross the Tanzanian border and travel about 75 Kms to Bukoba before taking another 50 Kms.

President Museveni promised to tarmac the road to Nangoma in order to improve service delivery.

"We are going to tarmac the road from the Tanzania border to Kagera and Kakekero and also procure a ferry. We will later on, construct a bridge to ease transportation in the area," he said.

The President further said that the government will build a secondary school for Nangoma and also extend electricity so that investors can set up factories to provide employment for the people.

"The electricity to Bukoba comes from Uganda. I had talked to former Tanzanian President Jakaya Kikwete about extending electricity from the Tanzanian side to Nangoma. I have also talked to the current President John Magufuli about the issue," he said.

President Museveni, however, strongly called on the residents of Nangoma to fight poverty in their homes.

"We are going to construct the roads but you will not eat the roads. Living near the road does not mean wealth. There are people living near tarmac roads but are still poor," he said.

He added that he will send a team of soil scientists to study nature of their land and advise on the types of crops that best grow in sandy areas, which Nangoma is. President Museveni also advised fishermen in Nangoma to protect Lake Victoria by desisting from catching immature fish.

"When I look around, there is no serious farming here because of the type of soil. Your life is mainly fishing but the fishermen have betrayed us. What is amusing is that they eat the little fish," he said. He, therefore, advised the fishermen to emulate Banyankole who do not eat the calves of their cattle even when they are extremely hungry.

The fishermen, on their part, defended their actions saying that they were not to blame for misuse of their side of Lake Victoria. They disclosed that the Marine Police and Fisheries officials use their authority to break rules.

President Museveni said the Baziba people in that area will be included as a tribe in the Constitution of Uganda because they were part of Uganda before the coming of the white man.

The President donated Shs.5 million to Tweyambe Women's Group with a view to helping them in their wealth creation activities.

Minister of State for Micro-Finance, Hon. Kyeyune Haruna Kasolo, State House Comptroller, Mrs. Lucy Nakyobe Mbonye, Rakai Resident District Commissioner (RDC), Mr. Boaz Ninsiima, Rakai Woman MP, Hon. Juliet Ssuubi and Kakuuto Constituency MP, Hon. Christopher Kalumba, attended the function.
 
Kwa wavivu kusoma,Museven aliahidi makubwa 3 yafuatayo:
1.Kuwasaidia waathirika ujenzi wa nyumba zao,hapa aliahidi kuwapa nondo na cement!
2.kuwapelekea miundombinu muhimu kama barabara na umeme
3.Kutuma wataalamu kwenda kuchunguza udongo wa maeneo hayo na kutoa ushauri wa kisayansi juu ya aina gani ya mazao wananchi walime ili kujikimu
 
Sa

Sahihisho hapo #1. Mabati 13,nondo na simenti za kutosha kuhimili tetemeko jingine.

Na msaada juu kwa majirani zake(bongo)
 
Kwa wavivu kusoma,Museven aliahidi makubwa 3 yafuatayo:
1.Kuwasaidia waathirika ujenzi wa nyumba zao,hapa aliahidi kuwapa nondo na cement!
2.kuwapelekea miundombinu muhimu kama barabara na umeme
3.Kutuma wataalamu kwenda kuchunguza udongo wa maeneo hayo na kutoa ushauri wa kisayansi juu ya aina gani ya mazao wananchi walime ili kujikimu
Kwanza usilinganishe madhara ya Uganda na TZ. Uganda nyumba ni chache sana hazifiki 500 wakati tanzania nyumba 17,000 ziliathirika!
Pili, Tanzania imetoa saruji mifuko 5 na mabati 20 kwa makundi maalum.
Tatu, zoezi la kupima udongo na kuelimisha wananchi limefanyika tayari.
Nne, miundombinu serikali yetu pia inajenga.
Mwisho, sijaona jipya kwa Yoweri Museveni. Uliza cost za recovery ya tetemeko kwa Uganda na Tanzania, kisha fanya ulinganifu utaelewa tofauti iliyopo.
 
Hivi us wangekuwa wanawaza kama nyie wangefika pale walipo,mahanga yanayo wapata wao mbona serikali yao huwa inajitoa kufanya recovry kwanini sio bongo ambayo inajitapa kwa utajiri ambao hata usa hawana tatizo viongozi wa ccm blahblah nyingi sana pesa za umma hazi fanyi mambo ya msingi ni zakufanyia mambo ya kipumbavu kama kuwagawia wabunge wapitishe muswada,kudhamini vikao vya chama ujinga tu
 
Kamanda aliyetokea msituni anafikiria bravely kumzidi yule PhD older. Kuongea saaaana kumbe wenzie huwa hawaongei, kimya kimya lakini kwa umakini na uhakika zaidi. JPM ni sawa na debe tupu
nahisi hata mimi nina PHD, nayo ni feki pia
 
Kumbe nchi jirani tu
Halafu tetemeko lilelile lililopiga mpaka bongo!Sasa sijaelewa Rais alikuwa anamaana gani aliposema hakuna nchi duniani inayowasaidia wananchi kujenga nyumba zilizoathirika na tetemeko!
 
Tetemeko lililowapata ndugu zetu wa kagera limeacha maswali mengi hasa baada ya Rais JPM kutembelea Kagera na kutoa hotuba pamoja na msimamo wa serikali!Pia ifahamike kuwa tetemeko hilo liliathiri mpaka sehemu ya Uganda na kuharibu nyumba takribani 80!
Bila shaka tumeona serikali ya Tz ilivyoshughulikia sakata hilo!Ni vema tukaona majirani zetu na wahanga wenzetu namna walivyoshughulika na athari hizo upande wa Uganda!Msome Museven hapa chini:

President Yoweri Museveni has said that the Movement Government will help rebuild houses that were destroyed by last month’s earthquake that hit Rakai district.

The President was speaking to residents of Nangoma Parish in Kyebbe in Kakuuto Constituency in Rakai district where he travelled yesterday to assess the damage caused by a tremor of a magnitude of 5.9 on the Richter scale on 10th September 2016. In Uganda, the tremor mostly affected Nangoma in Kyebe Sub-County near Kakuuto where nearly 80 houses collapsed at Minziiro and more than 40 others at Kannabulemu, including a Police Post. The earthquake whose epicenter was in Tanzanian Lake Victoria area in Bukoba also jolted the Kagera Region in Northern Tanzania.

"Each house should get 13 iron sheets, the necessary cement needed and iron rods so that your houses do not collapse again," he said.

President Museveni noted that although Nangoma does not have a big population he is going to grant them another Sub-Country to ease service delivery.

"Government, which is not near the people, is not good and affects service delivery. Even if the numbers are not so many here, I am going to give you another Sub-County because your neighbours in Ssese were given a new district although they are only about 10,000," he said.

In January 2014, residents of Nangoma sought to secede from Rakai district citing lack of basic social services such as tarmac roads, schools and hospitals.

The residents, who are mostly fishermen, accused Rakai district administration of what they say is long-standing neglect. Nangoma has a single Primary School and a Health Centre II and no electricity. They also complained about the poor transport to Nangoma saying it takes about forty five minutes on a boat cruise from Kasensero Landing Site to Nangoma while on road, one has to cross the Tanzanian border and travel about 75 Kms to Bukoba before taking another 50 Kms.

President Museveni promised to tarmac the road to Nangoma in order to improve service delivery.

"We are going to tarmac the road from the Tanzania border to Kagera and Kakekero and also procure a ferry. We will later on, construct a bridge to ease transportation in the area," he said.

The President further said that the government will build a secondary school for Nangoma and also extend electricity so that investors can set up factories to provide employment for the people.

"The electricity to Bukoba comes from Uganda. I had talked to former Tanzanian President Jakaya Kikwete about extending electricity from the Tanzanian side to Nangoma. I have also talked to the current President John Magufuli about the issue," he said.

President Museveni, however, strongly called on the residents of Nangoma to fight poverty in their homes.

"We are going to construct the roads but you will not eat the roads. Living near the road does not mean wealth. There are people living near tarmac roads but are still poor," he said.

He added that he will send a team of soil scientists to study nature of their land and advise on the types of crops that best grow in sandy areas, which Nangoma is. President Museveni also advised fishermen in Nangoma to protect Lake Victoria by desisting from catching immature fish.

"When I look around, there is no serious farming here because of the type of soil. Your life is mainly fishing but the fishermen have betrayed us. What is amusing is that they eat the little fish," he said. He, therefore, advised the fishermen to emulate Banyankole who do not eat the calves of their cattle even when they are extremely hungry.

The fishermen, on their part, defended their actions saying that they were not to blame for misuse of their side of Lake Victoria. They disclosed that the Marine Police and Fisheries officials use their authority to break rules.

President Museveni said the Baziba people in that area will be included as a tribe in the Constitution of Uganda because they were part of Uganda before the coming of the white man.

The President donated Shs.5 million to Tweyambe Women's Group with a view to helping them in their wealth creation activities.

Minister of State for Micro-Finance, Hon. Kyeyune Haruna Kasolo, State House Comptroller, Mrs. Lucy Nakyobe Mbonye, Rakai Resident District Commissioner (RDC), Mr. Boaz Ninsiima, Rakai Woman MP, Hon. Juliet Ssuubi and Kakuuto Constituency MP, Hon. Christopher Kalumba, attended the function.
huyu jamaa nawasiwasi huwa hasomi wala kufuatilia habari ya yanayotokea dunianiani ndo maana analopokalopoka vitu ambavyo mwisho wa siku vinamwaibisha
 
mn
Kwanza usilinganishe madhara ya Uganda na TZ. Uganda nyumba ni chache sana hazifiki 500 wakati tanzania nyumba 17,000 ziliathirika!
Pili, Tanzania imetoa saruji mifuko 5 na mabati 20 kwa makundi maalum.
Tatu, zoezi la kupima udongo na kuelimisha wananchi limefanyika tayari.
Nne, miundombinu serikali yetu pia inajenga.
Mwisho, sijaona jipya kwa Yoweri Museveni. Uliza cost za recovery ya tetemeko kwa Uganda na Tanzania, kisha fanya ulinganifu utaelewa tofauti iliyopo.

mnajenga na hela ya nani? mnachangisha wa TZ wote kisha siku ya kutoa misaada mishati ya Kijani na vilemba kibao !!
 
Back
Top Bottom