Hismastersvoice JF-Expert Member Joined Jan 26, 2013 Posts 24,441 Reaction score 29,988 May 11, 2022 #21 Mtoto halali na hela said: Ni wapi huko kwa hapa Tz Click to expand... Dodoma/ Singida iko kwenye reli ya kati ndani ya bonde la ufa.
Mtoto halali na hela said: Ni wapi huko kwa hapa Tz Click to expand... Dodoma/ Singida iko kwenye reli ya kati ndani ya bonde la ufa.
julaibibi JF-Expert Member Joined Jun 16, 2020 Posts 3,413 Reaction score 4,712 May 11, 2022 #22 mnyapaaa wveriya ijjaa
M Miss Madeko JF-Expert Member Joined Apr 30, 2014 Posts 4,441 Reaction score 5,744 May 11, 2022 #23 Mtoto halali na hela said: Ni wapi huko kwa hapa Tz Click to expand... Singida
M mazaga one JF-Expert Member Joined Apr 16, 2015 Posts 2,603 Reaction score 4,190 May 11, 2022 #24 Yana ukweli hayo? Jamani
namanga-kitonga JF-Expert Member Joined Feb 4, 2020 Posts 679 Reaction score 747 May 11, 2022 #25 KUTATABHETAKULE said: We Mnyalukolo, Mbukwenyi . Nilitegemea hao jamaa wa Kintinku wataleta taarifa zaidi lakini hadi sasa hawajaleta. Nadhani kuna tatizo la mtandao ndo maana hatujapata mrejesho. Asante. Click to expand... Hahahaaa. Wameishia kunywa kimpumu na kusahau hilo tukio. Siku nyingine usiwe fasta (kama....la kwanza) kuleta taarifa humu kama huna "details" zake.
KUTATABHETAKULE said: We Mnyalukolo, Mbukwenyi . Nilitegemea hao jamaa wa Kintinku wataleta taarifa zaidi lakini hadi sasa hawajaleta. Nadhani kuna tatizo la mtandao ndo maana hatujapata mrejesho. Asante. Click to expand... Hahahaaa. Wameishia kunywa kimpumu na kusahau hilo tukio. Siku nyingine usiwe fasta (kama....la kwanza) kuleta taarifa humu kama huna "details" zake.
namanga-kitonga JF-Expert Member Joined Feb 4, 2020 Posts 679 Reaction score 747 May 11, 2022 #26 stephot said: Umejuaje,ni pale ofisi ya mtendaji wa kijiji... Click to expand... Ni kwa bibi yangu hapo. Nakujua vizuri tu.
stephot said: Umejuaje,ni pale ofisi ya mtendaji wa kijiji... Click to expand... Ni kwa bibi yangu hapo. Nakujua vizuri tu.
Kunguru wa Manzese JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 12,726 Reaction score 18,238 May 11, 2022 #27 Daah isingetajwa singida nilikuwa niende Google
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,004 Reaction score 196,712 May 11, 2022 #28 Pole yao sana...
rubii JF-Expert Member Joined Feb 22, 2015 Posts 14,113 Reaction score 18,744 May 11, 2022 #29 stephot said: Nilihisi kitu kama hicho nikiwa kazini,ila nikaona kama ni mimi peke yangu ndio nimefeel hakuna hata mmoja wetu pale aliegundua kitu... Click to expand... Unafaa kuwa nabii mkuu
stephot said: Nilihisi kitu kama hicho nikiwa kazini,ila nikaona kama ni mimi peke yangu ndio nimefeel hakuna hata mmoja wetu pale aliegundua kitu... Click to expand... Unafaa kuwa nabii mkuu