Muda sio mrefu majira ya saa tano na robo saa za Afrika Mashariki kumetokea tetemeko la Ardhi mjini Dodoma japo halikuleta madhara ya moja kwa moja kama uharibifu nk.
Nimeongea na watu wawili wamesema "tunasikia kutoka kwako" sasa sijui ndugu umepata habari kwa nini hebu muulize pengine hilo tetemeko limetokea mtaa wa dodoma pale ilala 🙂
Muda sio mrefu majira ya saa tano na robo saa za Afrika Mashariki kumetokea tetemeko la Ardhi mjini Dodoma japo halikuleta madhara ya moja kwa moja kama uharibifu nk.
matetemeko madogomadogo Dom ni jambo la kawaida linaweza pita ipagala, Area A, Area D, na Area C lakini mitaa mengine waclisikie. So its a small matter.