Tetemeko la 6.5 laikumba Puerto Rico, laathiri huduma za kijamii, mali na makazi

The Sheriff

JF-Expert Member
Oct 10, 2019
617
1,799
Puerto Rico.jpeg

SAN JUAN, Puerto Rico (AP) - Temeko la ardhi lenye ukubwa wa 6.5 limeikumba Puerto Rico kabla ya alfajiri ya Jumanne, likiwa ni kubwa zaidi katika matetemeko ambayo yamepiga maeneo ya Amerika katika siku za hivi karibuni na kusababisha uharibifu mkubwa katika maeneo kadhaa.

Tahadhari ya tsunami ilitolewa kwa Puerto Rico na visiwa vya Virgin Islands. Mamlaka ya Umeme Puerto Rico pia imeripoti kuwepo tatizo la umeme katika eneo kubwa.

Tetemeko hilo liligonga kusini mwa kisiwa hicho kwa kina cha kilomita 10.

Hakukuwa na ripoti ya haraka ya majeraha au uharibifu lakini kukatika kwa umeme kulifanya iwe ngumu kupata habari.

============

SAN JUAN, Puerto Rico (AP) — A 6.5-magnitude earthquake struck Puerto Rico before dawn on Tuesday, the largest in a series of quakes that have struck the U.S. territory in recent days and caused heavy damage in some areas.

A tsunami alert was issued for Puerto Rico and the U.S. Virgin Islands. Puerto Rico’s Electric Power Authority also reported an island-wide power outage.

The U.S. Geological Survey said the quake hit just south of the island at a shallow depth of 10 kilometers. It initially gave the magnitude as 6.6 but later adjusted it.

There were no immediate report of injuries or damage but the power outage made it hard to obtain information.

A 5.8-magnitude quake that struck early Monday morning collapsed five homes in the southwest coastal town of Guanica and heavily damaged dozens of others. It also caused small landslides and power outages.

Chanzo: AP News
 


Earthquake hit Puerto Rico

It was one of the strongest earthquakes to hit the U.S. territory and it caused small landslides on a highway and damaged houses
 
Back
Top Bottom