ni mawazo yako tu jaribu kuficha mapungufu yako mbele ya umati wa watuIli kumpima baby wako mwambie hv: "baby i love you.." atakujibu: "i love u too.."mwambie tena: "baby i miss you "atakujibu: "i miss you too" mwambie tena: "baby nakutumia 50000 kwenye m-pesa.." Akikujibu: nakutumia 50000 kwenye m-pesa too!!" basi huyo atakuwa wa ukweli
ni mawazo yako tu jaribu kuficha mapungufu yako mbele ya umati wa watu
Ili kumpima baby wako mwambie hv: "baby i love you.." atakujibu: "i love u too.."mwambie tena: "baby i miss you "atakujibu: "i miss you too" mwambie tena: "baby nakutumia 50000 kwenye m-pesa.." Akikujibu: nakutumia 50000 kwenye m-pesa too!!" basi huyo atakuwa wa ukweli
Tujue jinsia yako kwanza ndo mjadala uendelee.
huo ni mtazamo wa kweri masela msijenge chuki
Acheni kutoka mapovu...huu ni utani tu...mara oh mapungufu, kitu gani nyie
kuna jukwaa la jokes mkuu!!

Achana nao hao mkuu....
nimejaribu akaniambia "mbona sijaiona baby jamani, hebu jaribu tena labda mtandao unasumbua"