Stand ya mbezi ilifuata nyani kule.Tren inapakia watu ulitaka reli ikajengwe mwanambaya?
Reli zote za mwendokasi duniani zinaingia city 🏙️
Hao watu wanaokwenda kuipanda watakwenda kwa miguu au?Tumeondoa bus terminal Kisutu, Mnazi mmoja na Msimbazi kwa nia ya kuondoa msongamano wa magari katikati jiji.
SGR ina njia inayojitegemea.
Kwa kutumia madaraja kama hilo la Vingunguti hadi Posta?Tren inapakia watu ulitaka reli ikajengwe mwanambaya?
Reli zote za mwendokasi duniani zinaingia city 🏙️
Watapanda mabasi ya mwendokasi ambayo yanatapakaa jiji zima.Hao watu wanaokwenda kuipanda watakwenda kwa miguu au?
Huku bunju ndo kwanza kunategenezwa. Labda wazuie magari binafsi maana pia hayakosekani kwenda kupeleka na kuchukua raia hapoWatapanda mabasi ya mwendokasi ambayo yanatapakaa jiji zima.
Hapo station kimejengwa kitup rasmi cha mwendokasi kuwaondoa abiria
Sawa,Huku bunju ndo kwanza kunategenezwa. Labda wazuie magari binafsi maana pia hayakosekani kwenda kupeleka na kuchukua raia hapo
ngoja tusubiri japo sijawahi panda mwendo kasiSawa,
Hata kama itachelewa lakini nanyi mtapata huduma ya mwendokasi ili mkitelemka station iwafikishe huko
Muda ukifika utapanda tu.ngoja tusubiri japo sijawahi panda mwendo kasi
Sijawahi kuipanda kutokana na hizo changamoto zilizopo vinginevyo ningeshaipanda.Muda ukifika utapanda tu.
Nina imani Mwendokasi itafanyiwa maboresho ya huduma zake, kila mmoja atatamani apande
Unaweza kuwa mtu wa pili kuwa na akili kubwa baada ya makonda, hili daraja lingeanzia bandarini lingeleta maana, hii hiki kituo cha abiria kingekuwa kwala ingeleta maanaHabarini wana jamvi.
Wakati ujenzi wa reli ukikaribia kuzinduliwa kwa route ya Dar es Salaam - Dodoma
Hivi ulishawahi kujiuliza wasomi wetu waliwaza nini kutengeneza daraja kubwa kuanzia vinginguti mpaka posta?
Unaweza piga hesabu pesa kiasi gani imetumika ili treni ifike tu posta?
Nazungumzia treni ya abiria usijesema ina link na bandari ili ipakie mizigo toka bandarini.
Vipi kwani treni hii isingeanzia gongo la mboto. Ikatengenezwa stand maridhawa na abiria wangeenda abiri huko badala ya kuja mpaka posta?
Hivi nia ya kuhamisha stand ya mabasi ya mikoani toka mnazi mmoja mpaka ubungo na hatimaye mbezi lengo lilikua nini haswa?
Najua jf ina wasomi hodari wataweza kuniondolea hili dukuduku langu la kutaka kujua kwa nini sgr ianzie city center tena kwa kujengewa daraja kubwa toka vingunguti, badala ya kuondoa msongamano na kujengewa nje ya mji.
Asanteni.
Tanzania tuna wasomi wasiojitambua who can't express themselves, mtu anaona fahari kuitwa Dr. au Profesa wakati hajuwi alifanyalo na wala hachangii chochote kwenye midahalo ya kimataifa. Mfano angalia yule Profesa (Mwanasheria Mkuu wa Serikali) alivyo mbabaishaji, ameitwa Uingereza kwenda kujieleza, hajuwi anafanya nini anaulizwa maswali anaanza kulia na kutetemeka, mind you - huyu ni Profesa na mtetezi wa Serikali yetu.Habarini wana jamvi.