Terminal pub morogoro

Terminal pub morogoro

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
15,819
Reaction score
40,324
Kuna mwamba yeyote mwana jf aliyeko hapa muda huu ? Ila tusitafutane tujuane tu Kama tupo hapa.
 
Pamenoga kinoma watu wa Moro wanajua starehe.
 
Picha. Watu wa Moro starehe wapi na wapi? Watakua wakazi wa Dar wameenda pumzika mashambani huko.
 
Morogoro inabebwa na wana dar na arusha. Chunguza hapo utajua
 
Mkuu kwahiyo waluguru na wengine wa moro hawajui starehe... utakuwa uifahamu moro vizuri.
Wanachonifurahisha ni msimamo wa kujisikia fahari sana kuongozwa na kina Shamim, Kalogeres na Abood. Wakiona jina la Mlekwa, Dimoso wanachukia
 
Ndo nipo njian naelekea hapo
 
Back
Top Bottom