Terminal benefits-

Terminal benefits-

Kichikapua

Member
Joined
Nov 24, 2010
Posts
11
Reaction score
2
Ndugu wanajamvi

Shirika letu limefunga virago hapa Tanzania. Naomba mtu yoyote mwenye government circular ya culculate rates za mtu kulipwa kwa ajili ya usafiri wa kurudi alikokuwa kabla ya ajira.
 
nenda kwa Maafisa Utumishi wa Idara yoyote kwenye Utumishi wa Umma watakusaidia .......au tafuta Standing Order ya 2009 imeeleza vizuri hizo.taratibu.
 
T.B = 1month basic salary before termination + 1month basic salary as notice + 1month basic salary as a annual leave(that you could take in a current year) + any accrued annual leave(not taken in previous years) + Severance pay + Transport allowance + Certificate of Service.

NB. Severance pay=(basic salary/28or 26days)*7days*No.of years worked
T.B=Terminal Benefit
 
Gharama za kumrudisha mtumishi kwao baada ya kustaafu ama wakati wa uhamisho n.k ni
(1000 tsh x numbers of km to employee point (tonnes elligible)).
Mfano, kama wewe unatakiwa utoke dar to mwanza ambako ni 1400km na unastahili kulipwa tani 3.
Hesabu zake ni kama hivi

1000x1400x3= 4,200,000/

kwa hiyo lazima kwanza wewe mwenyewe ujue sera ya ofisi yako unastahili kusafirishiwa mizigo yenye uzito kiasi gani mkuu.
 
Inategemea na mkataba uliosaini wewe ulikuwa unasemaje..mimi nafanya kazi nje ya tanzania mkataba niliosaini unasema kama nikiachishwa kazi lazima nipewe one month notisi ili kama nataka tafuta kazi nyingine au vipi...pili ntapata tiketi ya ndege mpaka kwenye nchi yangu kama ilivyoonyeshwa kwenye passport yangu TZ...tatu ntapewa haki zangu zote pamoja na mshahara wa mwezi mmoja...sasa wewe contract yako sijuhi ikoje....kama ulifanyakazi pasipo mkataba omba mungu
 
Back
Top Bottom