Mtu Poa 2013
Senior Member
- Mar 26, 2013
- 117
- 85
Usiangalie tu cheapness angalia na fashion, pamoja na maintanance cost. Hapa kwetu sakafu za mbao siyo maarufu, yaani sijawahi ona kwenye nyumba ya mtu. Mbao zinazofaa kwa sakafu ni zile za tiki ambazo ni ngumu sana, ni ghali sana hizi mbao. Kwa kuwa si maarufu basi hata mafundi wazuri hutawapata itabidi uagize kutoka nje. Maintanance cost ya floor ya mbao ni kubwa.Hivyo hii option achana nayo.Mambo
Ninafikiria kutengeneza sakafu ya nyumba yangu. Options zilizopo ni tiles terazzo au sakafu ya mbao. Kwa wale wenye uzoefu wa ujenzi, sakafu ipi kati ya hizo ni cheapest kujenga?
Usiangalie tu cheapness angalia na fashion, pamoja na maintanance cost. Hapa kwetu sakafu za mbao siyo maarufu, yaani sijawahi ona kwenye nyumba ya mtu. Mbao zinazofaa kwa sakafu ni zile za tiki ambazo ni ngumu sana, ni ghali sana hizi mbao. Kwa kuwa si maarufu basi hata mafundi wazuri hutawapata itabidi uagize kutoka nje. Maintanance cost ya floor ya mbao ni kubwa.Hivyo hii option achana nayo.
Terrezo ni old fasion. Duu na sijui kwa nini umewaza hizi kitu.
Option nyingine ni kutandika kapeti floir nzima. Hii ni nzuri na ibapendeza. Ila watu wengi wana ogopa kapeti kuchafuka hasa kwa kumwagiwa vitu kaka maji, vyakula mikojo ya watoto n.k. Lakini siku hizi kuna machine nzuri zinatumia umeme na maji ya sabuni unaweza kusafisha kirahisi kila linapochafuka.
Kuondoa complication ndo maana watu wanaweka tu tiles
ninapenda terrazo kweli kweli nami nimetafuta mafundi inaonekana hawana hy uelewa.. ila ni.expensv kweli kweli... terrazo ndo mpango mzima
Kama uko arusha mafundi wako wazuri tu wa terrazzo
Naonaga mafundi wengi wako hapa FB Kuna group linaitwa UJENZI ZONE(Since 2012) na lina fan base kubwa sana.Shida ya terrezzo kwa Tanzania ni mafundi tu, kuna nchi nilitembelea wao wanatumia sana terrazzo yaan inangaa na inakuwa nzuri balaa kiasi nikatamani kwenye ujenzi wangu niweke terrazzo.
Nimehangaika mafundi sijapata, nilipata mafundi fulani Kariakoo wana longolongo sana yaan mpaka nikaachana nao! Naona muda unazidi kwenda wazo la tiles linarudi taratiiibu!!
Kama kuna mafundi mahili wa terrazzo mahali tujulishane TAFADHALI!!
CYBERTEQ
Wapo jamaa FULANI tena wanna na mashine za kusugulia hiyo terrazzo flooringShida ya terrezzo kwa Tanzania ni mafundi tu, kuna nchi nilitembelea wao wanatumia sana terrazzo yaan inangaa na inakuwa nzuri balaa kiasi nikatamani kwenye ujenzi wangu niweke terrazzo.
Nimehangaika mafundi sijapata, nilipata mafundi fulani Kariakoo wana longolongo sana yaan mpaka nikaachana nao! Naona muda unazidi kwenda wazo la tiles linarudi taratiiibu!!
Kama kuna mafundi mahili wa terrazzo mahali tujulishane TAFADHALI!!
CYBERTEQ
Wapo wapi, waambie waje JF na Picha za kazi zaoWapo jamaa FULANI tena wanna na mashine za kusugulia hiyo terrazzo flooring
Hawawezi kuja JF labda niwaombe Kama wanazo picha ila nafahamu sehemu ambazo wamefanya kazi Kwa mfano maghorofa ya NSSF n.k HAWA JAMAA WAPO DODOMAWapo wapi ,waambie waje JF na Picha za kazi zao
Dodoma sehemu gani, tuletee hizo Picha za kazi zaoHAWA JAMAA WAPO DODOMA
Terrazzo Ni nzuri hupendeza hasa pale inapo changanywa kokoto za rangi pink.nyeupe,nyeusi halafu iwekwe kwa SARUJI NYEUPE (WHITE CEMENT)Shida ya terrezzo kwa Tanzania ni mafundi tu, kuna nchi nilitembelea wao wanatumia sana terrazzo yaan inangaa na inakuwa nzuri balaa kiasi nikatamani kwenye ujenzi wangu niweke terrazzo.
Nimehangaika mafundi sijapata, nilipata mafundi fulani Kariakoo wana longolongo sana yaan mpaka nikaachana nao! Naona muda unazidi kwenda wazo la tiles linarudi taratiiibu!!
Kama kuna mafundi mahili wa terrazzo mahali tujulishane TAFADHALI!!
CYBERTEQ