Coco gauff leo kaendeleza ubabe wake kwa kumchapa venus william,naomi osaka na serena nao wameshindaMichuano mikubwa ya Tennis kwa upande wa Gland Slam imeanza kutimua vumbi hii leo huko Australia katika jiji la Melbourne. Michuano hiyo mikubwa inatarajiwa kufika ukomo hapo tarehe 2 ya mwezi wa pili 2020.
Wakongwe katika mchezo huo Roger Federer, Novak Djokovic pamoja na Rafael Nadal wanatarajia kushiriki katika michuano hiyo. Bigwa mtetezi Novak Djokovic anatarajia kutetea ubingwa wake.
Kwa upande wa wanawake bigwa mtetezi Naomi Osaka itampasa apambane ili kutetea ubingwa wake huku akisaka Gland Slam ya tatu.
Kwa upande wa mgao wa fedha kwa mwaka huu ni asilimia 13.6 zilizo ongezeka katika jumla ya fedha ya mgao. Mshindi ataibuka na kiasi cha dola 2,853,079 sawa na Tsh 6,562,081,700 huku mshindi wa pili akiibuka na kiasi cha dola 1,431,002 sawa na Tsh 3,291,304,600.
Wadau wa mchezo huu pedwa kina Victoire niah Mgagaa na Upwa Penison Ole BAK na wengineo wote karibuni hapa tujadili yanayo endelea huko Australia.
Safi sana mkuu nami ni mpenzi sana wa Tennis,my money kwa ladies Serena Williams;nimefumba macho na kuyafungua mara pap Dar es Salaam nayo inaandaa moja ya Gland slam ya Tennis na F1 Grand Prix!!!!,Lewis Hamilton,Sebastian Vettel,Max(kichaa sana huyu),mzee kim R;wanatua pale JNIA tayari kwa Dar es Salaam Grand Prix!!!
Hahahahahahahahah Enough is Enough,Ni muda wa ku retire atulie nyumbani and try to make another Baby.Selena Williams atupwa nje michuano ya Australian Open, mwanadada kutoka Uchina Wang Qiang ameweza kumshinda mkongwe huo kwa seti 6 4, 6 7, & 7 5.
Yeye anajihisi bado ana uwezo....mwili unakataa....inabidi wapumzike kwa heshima...yeye na ndugu yake....umri umeenda....hawana kasi tena.Hahahahahahahahah Enough is Enough,Ni muda wa ku retire atulie nyumbani and try to make another Baby.
Ana lazimisha tu,Akili inataka mwili hautaki.Yeye anajihisi bado ana uwezo....mwili unakataa....inabidi wapumzike kwa heshima...yeye na ndugu yake....umri umeenda....hawana kasi tena.